Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

Status
Not open for further replies.
Mi sipigi kura ng'o ili iweje? Kama raslimali tulizonazo tu hazitusaidii tupige kura za nini? Huo ujinga mi cwez
 
Kenya ndo wanatakiwa wapige kura kwa wingi coz unawanufaisha wao kwa sana...lol!
 
MT. KILIMANJARO NOMINATED AS CANDIDATE FOR THE NEW SEVEN NATURAL WONDERS OF THE WORLD

Mount Kilimanjaro which is the highest peak in Africa and the highest free standing mountain in the world has been nominated as a candidate for the seven natural wonders of the world, in a competition organised by an organisation known as Seven Natural Wonders in which tourist attractions from all over the world are voted to nominated as The Seven Natural wonders of The World.

Tanzania will gain much publicity from being listed in the new list of Seven Natural wonders of the World and will be able to use this opportunity to promote Mt. Kilimanjaro as being in Tanzania.

Out of the 28 contestants which have made it to this stage, only two nominations are from Africa, these being Mt. Kilimanjaro (Tanzania) and Table Mountain (South Africa). There is fierce competition between the two African destinations.

Voting trends have shown that most people who are voting for Mount Kilimanjaro are those residing outside the country and that very few Tanzanian residents are voting for Mt. Kilimanjaro unlike the case for Table Mountain where large numbers of South Africans are taking participation in voting for Table Mountain.

We (TTB) would like to urge Tanzanians (in and out of Tanzania), friends and patrons worldwide to vote for Mount Kilimanjaro so that it becomes one of the New Seven Natural Wonders Of The World.

Votes are being collected at the following website: www.new7wonders.com
Note that the competition is open until November 11[SUP]th[/SUP], 2011.
For more information contact:
The Managing Director,
Tanzania Tourist Board,
Dar-es-salaam
Tel: 255-22-2111244/5
Email: md@tanzaniatouristboard.go.tz

Hili tulishalijadili humu na tukapiga kura zetu..ni kweli kwamba ishu kama hizi huwa hazina mvuto na hili ni tatizo la msingi..ila hao ttb nao wamekuwa slow kuhamasisha swala hili. I hope watalipa coverage stahiki kwenye media..
 
For those who have not come across/aware of this issue, please got to http://www.new7wonders.com and vote for our Mt. Kilimanjaro to become one of the new wonders of the world. If we win, the number of tourists in the country will increase.

We should all do it as Tanzanians instead of waiting for other people to vote it for us. It is interesting to note that so far most of the votes have been from non - Tanzanian!!!
 
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) inatoa matangazo katika magazeti kwa wananchi wazalendo kushiriki katika kupigia mlima wetu Kilimanjaro ili uweze kushinda katika shindano kubwa la kuchagua maajabu mapya saba ya dunia. Mlima Kilimanjaro ukiweza kuigizwa katika maajabu ya dunia kama ilivyo Serengeti itakuwa ni ushindi mkubwa katika midani ya utalii na uchumi kwa ujumla. Ili Mlima huu ushinde inabidi wananchi wa Tanzania washiriki kwa wingi. Kuna njia mbili za kushiriki;

1) Ingia kwenye website: new7wonders.com pale utakuta sehemu mbali mbali toka nchi mbali mbali zinazoshindanishwa na Mlima Kilimanjaro. Inabidi uchague sehemu saba (7) ikiwemo Mlima Kilimanjaro kwa kuweka alama ya tick. Alafu jaza sehemu ya majina na email na kadhalika. Nenda sehemu ya kutuma "send" na tuma. Utapata message inakwambia nini cha kufanya baada ya kupata email toka new7sevenwonders bonyeza kama unavyoagizwa ili kura yako ihesabiwe.

2) Unaweza kupiga kura kwa kupiga simu +1 869 760 5990; +1 649 339 8080 na +44 758 900 1290 baada ya kusia message mwishoni bonyeza 4 ambayo ni code ya Mlima Kilimanjaro. Shindano hili liko wazi hadi 11 Novemba 2011.

Tafadhali onyesha uzalendo wako kwa vitendo.

Kama unataka maelezo zaidi piga 255-22-2111244/5
 
haina masilihi kwa watanzania, wanyama wanaibia, hela zinazoingia utalii wa kilimanjaro wanazitafuna

Nitapiga kura yangu tukipata UHURU wa tanzania
 
haina masilihi kwa watanzania, wanyama wanaibia, hela zinazoingia utalii wa kilimanjaro wanazitafuna

Nitapiga kura yangu tukipata UHURU wa tanzania

Ikiingia kwenye world wonders ni jambo la kudumu milele. Kuna siku watakuja watawala wazalendo watoto zako au wajuu watanufaika
 
Kwa sasa hivi sio ajabu kwa kuwa mlima uliopo kwenye ukanda wa tropical lakini umefunikwa na barafu? au hizo kura zinaongeza nini kwenye huo mlima hadi ziufanye uwe wa ajabu? Wazungu watuchezea akili na kutuona wajinga, kura zinzkwenda kwenye kompyuta zao sioni kwa nini ndio ziwe kigezo cha kuufanya mlima uwe wa ajabu. shenzy Type fo shizzle
 
Ikiingia kwenye world wonders ni jambo la kudumu milele. Kuna siku watakuja watawala wazalendo watoto zako au wajuu watanufaika
<br />
<br />
ni kweli kabisa. Tusiangalie kwa sasa tu. Kura yangu itapata.
 
Mimi nitapiga kura kwani atakuja "Nyerere" mwingine tena wa kutulindia rasilimali zetu! That time will come!
 
ALL GREAT THINKERS, LET VOTE PLEASE::::

Mount Kilimanjaro is about to make to the list of New 7 wonders of the world.

Pls go to new7wonders.com and vote for our Kili.

Watch the trend first, them vote for Kilimanjaro and the other six, make sure they are at no. 20s to give Kilimanjaro a good trend, as of yesterday KILI was at No. 10 out of 28 finalists.

New7Wonders of Nature
 
ALL GREAT THINKERS, LET VOTE PLEASE:::: Mount Kilimanjaro is about to make to the list of New 7 wonders of the world.
Pls go to new7wonders.com and vote for our Kili. Watch the trend first, them vote for Kilimanjaro and the other six, make sure they are
at no. 20s to give Kilimanjaro a good trend, as of yesterday KILI was at No. 10 out of 28 finalists. New7Wonders of Nature
 
u will be surprised hao jamaa wa tourism sijui wanafanya nn hawahamasishi watu kupiga kura. hii nchi aliyeiloga keshakufa wallah! waweke na kura ya kuamua huu mlima uwe kenya ama tz uone!
ps: i wish ungeweka heading ikianza na 'vote for mt klm...'
 
mods, maybe u can do something abt this? manake tourism wako busy na wanyama hai. and if the link can be clickable (on mobile it is nt..) itarahisiha mambo. thanks in advance for th good work
 
Yap, the link is clickable from mobile, myself i voted off my HTC. Maliasili wamelala, its pain to see how we are loosing this great opportunity to market
our natural wealth legal instead of selling giraffes.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom