Vote for Mount Kilimanjaro to become among new 7 wonders

Status
Not open for further replies.
Viongozi wetu wameishia kwenye SIASA tu, a crucial voting is taking place until 11.11.11
Mount Kilimanjaro is about to make to the list of New 7 wonders of the world.
Pls go to new7wonders.com and vote for our Mountain. Watch the trend first, then vote
for Kilimanjaro and the other six, make sure they are at no. 20s to give Kilimanjaro a good
trend, as of yesterday KILI was at No. 10 out of 28 finalists. Click here >>New7Wonders of Nature
.
ALL GREAT THINKERS, LET VOTE PLEASE::::.

****yes you can vote from your mobile phone.*****
 
Mimi niltumiwa msg na voda nkavote on the spot
Ila jamaa hawahaishi sana wenzetu mpaka kwenye matamasha wanahamasisha
 
Nilishapiga tangu mwezi wa saba. Good kuileta hiyo habari huku ili watu waelewe na wapigie kura. Cha kusikitisha watu wa mataifa mengine ndio wameupigia kura zaidi.
 
Personally nimesha vote 4 k'njaro.. I encourage others to do the same..
 
u will be surprised hao jamaa wa tourism sijui wanafanya nn hawahamasishi watu kupiga kura. hii nchi aliyeiloga keshakufa wallah! waweke na kura ya kuamua huu mlima uwe kenya ama tz uone!
ps: i wish ungeweka heading ikianza na 'vote for mt klm...'
Hii nchi na viongozi wake ni ugonjwa wa moyo tosha. Bila ya mageuzi ya kweli tutabaki hivihivi na watoto wetu watakuja kutuita sisi wa kizazi hiki mafala.
 
kilimanjaro_5101.jpg

Wandugu tuhupigie kura mlima kilimanjaro ili uweze kuingea kwenye maajabu ya dunia, mpaka sasa huko namba kumi na siku zimebaki 71,
Mlima kilimanjoro umeitanga nakuipa heshima kubwa nchi yetu, bila mlima kilimanjoro yawezekana kuna watu wasinge jua kuna TANZANIA, ni mlima wa manufaa na tulipe kama zawadi, ni sisi tu katika AFRIKA tuna zawadi kama hii, ni upendeleo ulioje?
kwa sababu mlima huu umetupa heshima leo onyesha shukurani yako kwa kuweka huu mlima katika kumbukumbu za dunia, hii ni moja ya nafsi hadimu sana katika kuonyesha shukurani kwa mlima huu.

Ni hakika japo sio kwa kiasi kikubwa kuna walipata ELIMU, HUDUMA ZA AFYA na HATA ULINZI kutoka na pato kubwa tunalopata kwa kuwa na huu mlima,
natambu pesa nyingi uliwa lakini sasa ni wakati wa kuupa sifa kilimanjaro, THE HIGHLAND OF OUR OWN

KAPIGE KURA HAPA Vote | New7Wonders of Nature
OR
Dial one of these international numbers:

+1 869 760 5990
+23 9220 1055
+44 758 900 1290
+1 649 339 8080

After the tone insert 7716 - which counts as one vote for Kilimanjaro in the Official New7Wonders of Nature.​
 
Muhimu: Tuhupigie kura mlima kilimanjaro, una nafasi nzuri kushinda maajabu saba ya dunia

Kilimanjaro hata usipoipigia kura pamoja na Serengeti ni wonders of the world tayari wala msipate shida.
 
Amazon Angel Falls
Bay of Fundy
Black Forest
Bu Tinah Island
Cliffs of Moher
Dead Sea
El Yunque
Galapagos
Grand Canyon
Great Barrier Reef
Halong Bay
Iguazu Falls
Jeita Grotto
Jeju Island
Kilimanjaro
Komodo
Islands of the Maldives
Masurian Lake District
Matterhorn/Cervino
Milford Sound
Mud Volcanoes
PP Underground River
Sundarbans
Table Mountain
Uluru
Vesuvius
Yushan
 
Jamani hebu jaribu kutengeneza web.ambayo itakuwa faster ambayo itakupeleka moja kwa moja kwenye link bila kusua kusua maana hii iko slow sana nadhani itakuwa umetutendea kwa haki.
 
Jamani hebu jaribu kutengeneza web.ambayo itakuwa faster ambayo itakupeleka moja kwa moja kwenye link bila kusua kusua maana hii iko slow sana nadhani itakuwa umetutendea kwa haki.
Nadhani net yako ndio ipo slowly
 
u will be surprised hao jamaa wa tourism sijui wanafanya nn hawahamasishi watu kupiga kura. hii nchi aliyeiloga keshakufa wallah! waweke na kura ya kuamua huu mlima uwe kenya ama tz uone!
ps: i wish ungeweka heading ikianza na 'vote for mt klm...'

Ni kweli kabisa mkuu. mie niliwasikia kwa bahati mbaya nika vote. Wangetengeneza mabango madogo na kuyasambaza kwa wenye internet cafe ili wanaotembelea pale waweze ku vote. Kwa uzalendo wenye cafe wangeweza kuwaelekeza wateja wao namna ya ku vote. hizo message za kama voda mbona mie sijazipata au kwa vile niliisha vote?
 
Watanzania wangap wanaojua?. Maliasili wamebanwa na shughul za kusafirisha wanyama hai.
 
let vote for ****** awe naye ktk 7 wonders of the world au mwaonaje?
 
mi nasikia uchungu kama mwanamke anayetaka kuzaa jamani siku hiz watz access za internet ziko kila kona hadi watoto wa std 1 wanajua wizara ya maliasili wangeshirikiana hata na wizara ya elimu wakafanya kampeni mashulenh na vyuoni jamani lol, ila unaweza kuta wapo hata wabunge na mawaziri ambao hawajapiga kura, sijajua kama baba ridhiwani amepiga tayari au bado
 
Basically;I don't see importance of Tanzanian to vote for this mountain to become among the top wonders of the world,Im saying this openly..for what reasons? and then after you vote? Even if this mountain will become among those wonders,how am I going to benefit? If I would see the impact of having this mountain today,I would be in the position to vote...But,to vote for the benefit of CCM and its Government I dont think if it is good and right.
 
A great thinker does not vote for this nonesense.It's a very cheap idea which has the aim of moving us away from our main problems.To hell with you freemason.Badala ya kuwafanya Watanzania wafikirie jinsi ya kutatua matatizo yao ya msingi unawaletea ushenzi huu.Baada ya kuvote than what.Kawaambie mabwana zako waliokutuma kwamba hawajafanikiwa kutuchakachuwa Watanzania wote,waongeze nguvu!
ALL GREAT THINKERS, LET VOTE PLEASE:::: Mount Kilimanjaro is about to make to the list of New 7 wonders of the world.
Pls go to new7wonders.com and vote for our Kili. Watch the trend first, them vote for Kilimanjaro and the other six, make sure they are
at no. 20s to give Kilimanjaro a good trend, as of yesterday KILI was at No. 10 out of 28 finalists. New7Wonders of Nature
 
Basically;I don't see importance of Tanzanian to vote for this mountain to become among the top wonders of the world,Im saying this openly..for what reasons? and then after you vote? Even if this mountain will become among those wonders,how am I going to benefit? If I would see the impact of having this mountain today,I would be in the position to vote...But,to vote for the benefit of CCM and its Government I dont think if it is good and right.
Let you vote for it because CCM 'l not rule our nation for all the life. We 'l get a chance to drive them out rather than this opportunity we have now for making it being among of those wonders. Don't expect to get this chance twice.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom