Vodacom university offer.

Vodacom university offer.

Mkuu umejaribu kutumia voda wap? Maana kihalali simu inatumia access point ya wap. Hii wap ina limit vitu vyengine hufany so maybe net yao wameieka huko.
Change access point
nimejiunga tena cha ajabu leo sms ndo zimekubali calls na data vina kula pesa kama kawaida na niko ndani ya chuo la sivyo inge kataa kujiunga kama ilivyo kwa C6 hapo
 
Last edited by a moderator:
hahahahaha ww unaznguaa ww... ingekua ya demu ungepigaaaa..... angalia usjepewa ban la maishaaaaa

Ha ha ha haa! umenichekesha Mkuu! Hakuna haja ya kumpigia mtu ambaye humfahamu, waweza pata kesi buuure! Lakini sema ukweli, si kale kanamba kanasomeka?
 
jibu toshaaa.....


nlichofurah n kwamba inaonesha ww n mtu makini sanaaa .. hzo namba olizo zifuta kwenye hyo screen shot.. safi sanaa...... ila umeniangusha kitu ki 1.. unatumia edge...


teh teh teh
A%20S%20thumbs_up.gif

Edge ya voda eneo langu inarange 25 mpaka 30 kilobytes per second inaipita 3g ya airtel
 
jibu toshaaa.....


nlichofurah n kwamba inaonesha ww n mtu makini sanaaa .. hzo namba olizo zifuta kwenye hyo screen shot.. safi sanaa...... ila umeniangusha kitu ki 1.. unatumia edge...


teh teh teh
A%20S%20thumbs_up.gif

hahahaaa yani hapo nilikuwa najaribu kujiunga nikiwa darasani chuo but wakanijibu niko nje ya chuo, ntawapigia customer service


kuhusu kufuta namba, najua ningeziacha hizo namba mbili watu wangejaribu kupiga afu wangeulizwa wangesema wamepewa na c6 na hakuna mtu anaemjua c6 sasa ingekuwa balaa, nashukuru app hii inakuruhusu kufuta vitu usivyotaka kabla ya ku upload
 
Mkuu umejaribu kutumia voda wap? Maana kihalali simu inatumia access point ya wap. Hii wap ina limit vitu vyengine hufany so maybe net yao wameieka huko.
Change access point
me nipo ndani ya chuo na nimejiunga imekubali sms pekeake voice na data inakula pesa.
 
me nipo ndani ya chuo na nimejiunga imekubali sms pekeake voice na data inakula pesa.

Mkuu nnachomaanisha access point ya kawaida yaani ya internet inaweza kua haijasetiwa na hio internet tengeneza access point ya wap yaani apn iwe wap.vodacom.co.tz
 
Mkuu nnachomaanisha access point ya kawaida yaani ya internet inaweza kua haijasetiwa na hio internet tengeneza access point ya wap yaani apn iwe wap.vodacom.co.tz
hamna kitu chief nimejaribu saana hiyo but hali ile ile, may be because nina bundle
 
PAWAHOST.COM sasa inatoa offa kabambe kwa huduma mbalimbali,Kama ilivyoorozeshwa hapo chini:-
1. Utengenezaji wa Website kwa gharama kuanzia 150,000/=
2. Utengenezaji wa mifumo mbalimbali kama ya Kibiashara ,shule ,Hospitali 250,000/=
3. Utengenezaji wa Application Mbalimbali zinazoweza kuanzia 75,000/=
4. Utengenezaji wa forums na chatting websites 250,000/=
5. Website Kwa Ajili ya Kuuza Vitu Mbalimbali Online(Kama Amazon)=350,000/=

Pia tunatoa huduma ya Domain Reseller na Hosting kwa package zifuatazo:-
1 GB Disk Space
20GB Bandwidth
UNLIMITED Email Accounts
Free Data Backup
Free SSL Configuration per domain

Kwa package hizo hapa juu gharama ni 60,000 Tu kwa Mwaka,Tupigie sasa kwa namba +255687 535650 ,Email :info@pawahost.com ,Website :www.pawahost.com
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kuna mtu anajiita PAWAGA kanitapeli mpk leo yupo kimya asee etii anaunganisha laini za vyuo kumbe mpiga madeal tu
 
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kuna mtu anajiita PAWAGA kanitapeli mpk leo yupo kimya asee etii anaunganisha laini za vyuo kumbe mpiga madeal tu
Wewe ndo ulikua unamsuport angalia Thread ya Pawaga kumbe na wewe ni K tuu
 
Back
Top Bottom