Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Wezi wakubwa, mitandao mingine ukiwa kwenye bundle punde tu ikiisha wanakuambia bundle yako imeisha na utakuta salio lako intact, Thubutu vodacom.

Ukiweka pesa kabla hujajiunga wanakula mara unaambiwa salio lako halitoshi.

Halafu na hivyo vi bundle vyao vya mb 25 na sec 60 kwenda mitandao mingine so sickening ....
 
Mbaya zaidi wanaloby maofisini staff wanashurutishwa kujiunga na vodacom whether you like or not.

Na ma afisa wetu njaa yao mnajikuta ofisi nzima mnapelekwa voda upende usipende kisa tuu kampuni inakulipia airtime kidogo. Huu wizi ni mkubwa sana ukiuanalyse
 
Heri ya mwaka Mpya Mkuu! Naona jamaa walikuwa wanafunga hesabu za 2013 wakajua tayari bundle yako umeshatumia. Voda siku hizi ni wazi kiaina!
 
Hahaha pole sana....baba lao ndo mambo yote hapa natumia bando langu la mwaka jana bila wasi.....
 
Nasikitika na kulia Voda wamekwangua bundle la internet 5GB nililo nunua Tar.27/12/2013 jana Tar.31/12/2013 bundle lote jamaa wamekwangua na matumizi yangu ni ya kawaida sana ni email na kuingia JF yaani inaniuma sana hawa Voda walicho nitenda nawapigia longo longo nyingi.

Kuna uzi ulikua uko kule jukwaa la habari mchanganyiko..jamaa alikua na shida kama yako na alilipwa ela yake....embu jaribu pitia kule mkuu!!! Pole sana na heri ya mwaka mpya!! Cc Vodacom cs agent
 
Last edited by a moderator:
Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa yangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.
 
Vodacom wamezidi hawa unajiunga na kifurushi cha mia tano dk 10 mitandao yote. Haunapiga simu moja ya dk 2 umebakiwa na sh300 kama uliweka 1000 halafu wanaondoa dk 8 zilizobaki na mia 300 pia.voda wezi tu
 
Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa yangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.

Sijui uhamie mtandao UPI?na Tigo wanaiba kwa staili hiyo hiyo.muda mfupi uliopita Tigo wamenikata hela na kunishukuru kwa kulipa deni lao; wakati mie sijawahi kukopa.
 
Hujui kwamba huo mtandao unamilikiwa na mafisadi hivyo wanakata hela kwa ajili ya t-shirt, kofia na khanga za kijani na njano za kuhonga kwa uchaguzi mkuu mwakani. Kwa hiyo ni lazima ukatwe mtu ili kufanikisha malengo yao. Nilishahamia huku zamani. Halafu eti ndio huyo dogo wa wizara ya mawasiliano anautaka urais wakati ameshindwa kusimamia suala la makampuni ya simu kuwaibia wateja hela kila siku. Huyu ni naibu waziri mzigo mwingine kwa taifa.
 
Wadau heri ya mwaka mpya nyote. VODACOM wamenisikitisha asubuhi hii kwani nimeweka shs 2000 ili nijirushe nashangaa najaribu kujiunga najibiwa huna salio!!! kucheki salio nina 800!!!Sijawahi kukopa. Sasa pesa yangu wamepeleka wapi???!!!!! Vodacom siwaelewi!!!!Hakika napanga kuhamia mtandao mwingine.

Habari ndugu mteja,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi,pole.
 
vidacom ni majambazi wasiotumia bunduki ila akili,hamia kwa mabingwa yaaaaan hakatwi mtu hapa!
 
Kuna uzi ulikua uko kule jukwaa la habari mchanganyiko..jamaa alikua na shida kama yako na alilipwa ela yake....embu jaribu pitia kule mkuu!!! Pole sana na heri ya mwaka mpya!! Cc Vodacom cs agent

Ahsante mkuu jamaa wabadilike kwakweli yaani ndani ya siku 4 bundle ya 5GB wamekwangua yote huu ni wizi wa mchana kweupe.
 
Back
Top Bottom