fundinaizer
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 1,725
- 2,630
Pole sana mkuuMimi mmeniudhi kitu kimoja nimepoteza laini yangu kuirudisha naambiwa namba tano nilizokuwa nazipigia Mara kwa Mara sasa Mimi nazipata wapi wakati nimepoteza simu kitambulisho ninacho lakini mmeshindwa kunirudishia nimeamua kuachana na voda kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nauliza, kwa nini vifurushi vya chuo vimeongezeka gharama? Je, hamuoni umuhimu wa kuvirejesha kama awali, maana ongezeko hilo ni kubwa, na mahitaji ya vifurushi hivyo ni makubwa sana kwa wanafunzi!!Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*
Habari ziwafikie popote mlipo........
Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu .
Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho?
Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???"
Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji
Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie
~Fulldose~
Kweli asee...watuambie wamekubuhu nowwizi mtaacha lini. ??
Halafu sasa wameondoa kimya kimya sijui waliona tunafaiiiiidiiiMmeondoa 1gb ya usiku kwa kifurushi cha 1500 cha chuo...mmeondoa radha ya mm kuupenda mtandao huu kwa kweli
Yaan n hovyo sana....saiv wamepandisha bei ya kifurushi chenyewe,2000=1gb ...tutakufa huu mwakaHalafu sasa wameondoa kimya kimya sijui waliona tunafaiiiiidiii
Vifurushi viko vipi???Nimehamia ttcl juzi, nafurahia vifurushi vyaoo.
Sijui nilikuwa wapi siku zote mpaka nakuja kuwafaidi sasa.
Go to hell vodacom and tigo
2500ths unapewa dak 20 mitandao yote na 100 ttcl to ttcl na 2.2GbVifurushi viko vipi???
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Voda hongeren sana bundle nasikia zimepanda bei endeleen kutumia nyie wenyew

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu.
Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania.
Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???.