

. Nikajiuliza hivi kweli deni la 1500 litanizuia nisipate mkopo wa 10m bank?Hahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda.Ha haaa vodacom kwa vitisho hawajambo. Nilikopa m-pawa nikalipa ikabaki kama 1500 hivi nikawa nasahau kulipa.nilipata msg matata kila siku..nitafikishwa mahakamani, nitazuiwa kukopa kwenye taasisi nyingine za kifedha... Nikajiuliza hivi kweli deni la 1500 litanizuia nisipate mkopo wa 10m bank?
.
.
Dawa ya deni kulipa.



Sawa kabisa. Bank wanunue mkopo wangu wa vodaHahahahaaaaaaa! Unawaambia benki wakupe 9,998,500. Hiyo chenji wawape voda.
Sent from my SM-J710F using JamiiForums mobile app