Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Ulianza kukatakata sasa ukishamaliza kununua MB hata zile bar zinapotea hapa nina MB800 na zinaenda kudedi
 
Ulianza kukatakata sasa ukishamaliza kununua MB hata zile bar zinapotea hapa nina MB800 na zinaenda kudedi[/QUOTE
Sasa tunafanyaje wadau! Na hapa ndipo wanaweza ona comments za watu ili waone tunavyokwazika.
 
Mtandao ambao uko ambo ambo angalau kwa sasa ni Halotel na kidogo Tigo, hao wengine wako zaidi kwenye 2G na ndo maana inazengua.
 
Habari
Leo nimekwazika na Huduma ya Vodacom . Nilikua nataka kufanya muamala wa Benki kupitia line yangu ya Vodacom. Sikua na salio. Hivyo nikabonyeza *150*00# ili nijiongezee salio la sh 500 kusudi niweze kutumia SIMBANKING ya CRDB.

kawaida lazima laini yako iwe na kama sh 250 ili utumie SIM Banking. Kila nikibonyeza namba 3 /Ongeza muda wa maongezi haileti.

Nimeweka kama inavyoonekana.

Matokeo yake nimelazimika kuacha kazi zangu kwenda kununua vocha dukani, niikangue, niingize, nimechoma mafuta, hakika nimekwazika.

IMG_20170807_162200.jpg

IMG_20170807_162116.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe 4/8/2017 zaidi ya siku NNE haijamfikia mlengwa husika kutoka Tanzania to Kenya Leo tarehe 7/8/2017 wananirudishia sms yenye muamala ambao umefanyika tarehe 4 /8/ 2017 but muhusika kenya hajapata sms yoyote ...sijui shida nini hata hao IT wao wanafanya nn wanashindwa kusolve tatizo

..kabla niliwauliza majibu yao
Muamala uko hewani subili kuanzia sasa utapata sms..
Weekend huwa mtandao unasumbua...
Subili ndani ya siku nne..

Majibu hayo najibiwa utafikili pesa nilikosea kutuma wakati nilituma kwa uhakika ..
 
Huduma za vodacom mpesa now zimekua shida nimetuma pesa tarehe 4/8/2017 zaidi ya siku NNE haijamfikia mlengwa husika kutoka Tanzania to Kenya Leo tarehe 7/8/2017 wananirudishia sms yenye muamala ambao umefanyika tarehe 4 /8/ 2017 but muhusika kenya hajapata sms yoyote ...sijui shida nini hata hao IT wao wanafanya nn wanashindwa kusolve tatizo

..kabla niliwauliza majibu yao
Muamala uko hewani subili kuanzia sasa utapata sms..
Weekend huwa mtandao unasumbua...
Subili ndani ya siku nne..

Majibu hayo najibiwa utafikili pesa nilikosea kutuma wakati nilituma kwa uhakika ..
Vodacom ni shida, tena shida kubwa. Achilia mbali huko Kenya ulikotuma hata hapa nyumbani ni tatizo kubwa.

Mimi ni wakala wa M'pesa, utakuta unamwekea mtu pesa kwenye simu yake uko naye dirishani lakini sms ya kuingia kwenye simu yake ni shida na kwa wasiokuwa waelewa au wavumilivu mnagombana.
Wakati mwingine mteja anatoa pesa kwa wakala, kwenye simu ya mteja inaonyesha pesa imetoka lakini sms kuingia kwa wakala ni shida.

Kwa ujumla miala ya M'pesa kwa sasa ni janga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VODACOM TANZANIA MNA MATATIZO SANA KWENYE HUDUMA ZENU ZA FEDHA, NA HII NI KERO KUBWA SANA KAMA MKO SERIOUS NA BIASHARA MNATAKIWA MREKEBISHE HILI KWA HARAKA.

HUDUMA YENU YAKUTUMA HELA KWENDA MITANDAO MINGINE NI KERO KUU KWA SASA KWANGU NA KWA WENGINE PIA MAANA KILA MARA NAONA WATU WANAVYOLALAMIKA KWENYE MITANDAO MINGINE.

HAIWEZEKANA ZAIDI YA SAA 24 MTU AMETUMA HELA YAKE HALAFU INAKOENDA HAIJAFIKA NA KWA MHUSIKA IMETOKA, TUKIWAULIZA CUSTOMER CARE WENU BAADA YA KUSUBIRI KWA MUDA MREFU HEWANI TUNAPEWA MAJIBU RAHISI SANA ETI KUNA TATIZO LA MTANDAO NA TATIZO LAKO LINASHUGHULIKIWA.

UKWELI NI KWAMBA TUNAPOTUMA HIZI HELA TUNAKUWA NA MAHITAJI NAZO NA SIO KWA KUJIFURAHISHA TU, TUNATUMA KUOKOA MAISHA YA WATU, TUNATUMA KUTOA SADAKA, TUNATUMA KULIPIA ADA, TUNATUMA KUKAMIRISHA TARATIBU ZA MAZISHI, TUNATUMA KWA SABABU ZA KIBIASHARA NK.

HIYO TECHNICAL TEAM YENU SISI HAITUHUSU, SISI TUNACHOHITAJI NI HUDUMA NA SIO BLAH BLAH, NI WAKATI WAKUJISCREW WENYEWE MUWEZE KUTUHUDUMIA VINGINEVYO MUUTANGAZIE UMMA HAMUWEZI KUTUHUDUMIA ILI TUANGALIE USTAARABU MWINGINE, MNASHINDWAJE KUTOA HUDUMA KITAALAMU KARNE HII YA 21 KWA KUZINGATIA SOKO NA MAHITAJI?
 
Back
Top Bottom