Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Mm nina lalamiko tena mna nikera sana lala miko la kwanza kunipigia cm ili nichague mziki wa anaye nipigia sitaki izo habari maana ni usumbufu kwangu
Lalamiko la pili ni kuwa laini nime weka kwenye cm ya vunja chawa ikiwa na maana kuwa haitumii bando ni sms na kupiga tu sasa mnacho nikera hapa ni kuwa naweka vocha niki chelewa kujiunga kifurushi cha kupiga mna nitumia msg za ajabu ajabu na kula hela yangu hamwoni kama ni wizi toeni iyo kitu kwangu sitaki sina hela za bure hapa mwenye nchi mna mwona mwenyewe ni tatizo kawa jiph
Watakutoaje wakati hawakujui?
 
Mimi natumia cm lg inasaport 4G LTE na lain nilishabadilisha kitambo nikapewa 4G HAPA KASI TU lakni hiyo kasi inanikela kweli

Kwanza ukianza kutumia kifurushi chenye mb za kutosha spd huwa ipo lakini.zinavyozidi kupungua na kasi nayo inapungua kwa nn? Hii ni tofaut na mitandao mingine ambayo haipunguzi spd hata kama mb zinapungua

Ombi naomba hizo mita zenu mzilekebishe kwa nn ipungue spd ?
Ninaomba kama spd ya 4G ibaki ile ile cio kupungia lwa mb mnapunguza spd iache spd iende vile vile zikiisha mb c mteja atanunua tena?
Ni hayo tu
 
Nimedanganywa na muhudumu wa vodacom, kanipigia Simu, kaniambia : " wewe ni mtumiaji mzuri wa huduma za mpesa hivyo tunakuzawadia Tz sh..... tutakuwekea kwenye akaunti yako, unashilingi ngapi kwa sasa kwenye account yako ya mpesa? mara ya mwisho umefanya muamala wa tsh ngapi?" Hadi leo jiiii!!!!!!
 
Mimi lalamiko langu bila kumumunya maneno mana nikera sana kwanza una kuta nime weka vocha lamda mtu ame omba nimnunulie kifurushi nime chelewa tu dakika moja mna nitumia msg za kijinga na kula hela yangu mna dhani nina shimo la hela mkate kama mli nikopesha!

Hiyo tabia ina nikera sana
 
Lole Gwakisa post: 8232006 said:
Kuna wizi mkubwa kwa fedha

"Asiependa shule ni mjinga kabisa, barua ikija aitembeza kutwa"Gwakisa umewahi kusikia hii nyimbo?Umetembeza TCRA,JAMII FORUM,VODACOM CUSTOMER CARE kujionyesha ni kiasi gani wewe ni mjinga!Unaweka gari mafuta iko on na umewasha AC alafu unaiacha on unaenda ukirudi mafuta yameisha unasema umeibiwa?What did you expect?unapoacha mobile data on hela inaliwa kwa speed kuliko hata kununua bundleacha nimalizie na ule wimbo "huyooo,huyooo ni mjinga kabisa"
 
Jana tarehe 6.1.2017 tangu saa nane mchana hapakuwapo na mtandao kupitia Vodacom mpaka usiku.

Mpaka sasa Vodacom hawajatuomba RADHI sisi wateja wao.
 
Tatizo lenyewe lilikuwa Jiji la Mwanza. Tangu saa nane mchana mpaka usiku hapakuwa na mtandao.Watuombe radhi.
 
Voda nawachukia mnatufull wateja wenu haiwezekani mkatuuzia mb 200 za msimu wa sikukuu kwa sh 1,000 maana uingiapo ktk mb 350 internet inakuwa haina kasi kama ukiwa ktk mb za msimu wa sikukuu.
 
Internet yenu inazingua
Maeno ya Mwanza
Hasa Kayenze na Sangabuye mkayafanyie kazi make kuna wafanyabiashara wengi
 
Back
Top Bottom