Tupo wote halotel nilitupa mpk laini ya airtel sh 500 najipatia 600mb kifurushi cha chuo....kwa sasa halotel powa I hope hawatatuchenjia haaaaHawa siwapendi kama nini na lain yao nlishatuoa zaman... niko zangu na halooooooootel
Kwakwel ngoja nizizuie hisia za ndani maana nikiongea apa itakua taabu

Naweza kumezwa apa msinione jukwaani