Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

We jamaa hivi kichwa chako unatumia kufugia nywele tu??
Hata kufikiri kidogo tu huwezi??
Mimi siwezi kabisa kufikiri "kidogo" naweza kufikiri "kikubwa" .

Acheni kulalamika jua linawachoma ilihali mna uwezo wa kukaa kivulini.

Serikali yenu mnayoshinda mnaitetea kila siku ndio inapandisha kodi kila kukicha lakini mmefunga midomo.

Mtoa mada ni mnazi mojawapo wa Lumumba, sasa sijui kipi ni kigeni hapo!
 
tigo pekee ndio wa naweza kustick na offer tu, wengine huwa wanajaribu+tamaaa
 
Karibuni tigo, nyumbani kumenoga bei zile zile tangu kipindi cha Mh Kikwete
 
Mimi siwezi kabisa kufikiri "kidogo" naweza kufikiri "kikubwa" .

Acheni kulalamika jua linawachoma ilihali mna uwezo wa kukaa kivulini.

Serikali yenu mnayoshinda mnaitetea kila siku ndio inapandisha kodi kila kukicha lakini mmefunga midomo.

Mtoa mada ni mnazi mojawapo wa Lumumba, sasa sijui kipi ni kigeni hapo!
Kwahio wanachuo wote wapo CCM ..kwani lazima mambo yote uweke siasa za chadema na ccm.??
Sisi tunalalamika voda wanafanya mambo ya ajabu wewe unakuja na mambo ya lumumba kama vile jukwaa la siasa hulioni
 
Madogo wachuo ni wapumbavu sana nyie mnajua VAT wanayokatwa hawa jamaa imekuwa mpaka kero eti wanachuo wanachuo kwani nyie ndio nani kwa Vodacom hata mkihama wote hamna athari yoyote
.
.
Ukituma au kutoa pesa M-PESA na TIGO PESA gharama ni yakutisha mbona hamjalibebea bango hili swala?

Wanachuo washaishaga kitambo
Unawashambulia bure hao wanachuo.
Vodacom ile VAT anakatwa mteja wakati wa matumizi. Bora mitandao mingine kama Airtel ukiambiwa umepata 1GB basi ukitumia unakuta kweli umetumia kiasi hicho, tofauti na Voda ambao unaambiwa umepata 4GB ukitumia inaishia 3.5 GB tu.
 
Kampuni ya Vodacom ni moja ya kampuni ya sim ambayo ilikuja na vifurushi vya chuo kwa wanachuo wanaotumia mtandao huo

Cha kusikitisha ni kuwa ghafla wamepandisha gharama za vifurushi kutoka 500 hadi 1000 pindua pindua,na mbs 500 kwa 1000 kwa saa 24 na kile cha wiki kutoka 1500 hadi elfu 2000 dk 150 na 1 GB

Vodacom wanapaswa kujua wanafunzi wanaotumia mtandao huo wanatoka familia za kimasikini hivyo wanapaswa vifurushi vyao viwe vya chini ili wanafunzi waweze kutafuta material bila shida

Vodacom hatukubaliani na mlichokifanya kwa wanafunzi wa kimasikini

Vodacom rudisheni gharama za mwanzoni za vifurushi vya chuo

Kama mnataka mfidie hela mliotoa kwenye rambi rambi ya MV Nyerere mseme lakini sio kupandisha gharama za vifurushi vya chuo kimya kimya,mnatuumiza bure

Kifurushi kinaitwa pinduapindua jiandaeni kupinduliwa tu,hamna namna tena
 
Kaeni mkao wa kula Azam tutawafikia hivi karibuni kwa vifurushi vyetu vilivyosheeni MB na dakika za kumwaga, vuteni subira. 😂😂
Thubutu ni yale yale tuu.......unafikiria kina Voda/Tigo au Airtel wanapenda kupandisha bei kila mara.......kupandisha bei wakati mwingine napo kuna Impact kwao kama kukimbiwa na customers
 
Madogo wachuo ni wapumbavu sana nyie mnajua VAT wanayokatwa hawa jamaa imekuwa mpaka kero eti wanachuo wanachuo kwani nyie ndio nani kwa Vodacom hata mkihama wote hamna athari yoyote
.
.
Ukituma au kutoa pesa M-PESA na TIGO PESA gharama ni yakutisha mbona hamjalibebea bango hili swala?

Wanachuo washaishaga kitambo
mbona umepanic mzee mkuda?
 
Tatizo watz tunapenda kulialia afu kujiitia umaskin mno....
unaona hawakufai unaachana nao sio kuhamasisha migomo ya kifala hapa.

Alafu pia ww ni mwanachuo usipende kulalamika sana unajidumaza bure.

samahan kama nitakuudhi
Unajiita Mtanzania halafu unabendera ya Kenya hapo kweny AVT yako Shwain kabisa
 
```*VODA KAMA MMETUCHOKA WANA CHUO MTUAMBIE*

Habari ziwafikie popote mlipo........

Sisi ni wanachuo watoto wa maskini kutoka Tanzania ambao tulitokea kuupenda mtandao wa Vodacom na kuona ni mahali sahihi kwa kutokana na matumiz yetu mbali mbali ya simu hususani kimtandao ambayo hutusaidia kutafuta material mbali mbali kwa gharama nafuu . Sasa mmetuona sisi ndio shamba la bibi kwa kutaka kujinufaisha kwa haraka au yale mamilioni mliyotoa kwenye rambi rambi mnataka mrudishe kupitia sisi ??? Iweje mtupandishie gharama za vifurushi kwa kiasi hicho ?? Kueni na huruma kwa watoto wa maskini kama sisi tunaojariwa kuja kuwa wajengaji wa taifa hili letu pendwa la Tanzania. Kiukweli hatuna hamu tena ya kuendelea kuwa wateja wenu teena kwa haya mnayoyafanya . Tunaomba popote msomapo ujumbe huu mjibu swali hili " MMETUCHOKA WANA CHUO"??? AU "MMEONA SISI NDIO SHAMBA LA BIBI???" . Msipolirekebisha hili ndani ya siku nne tunahama mtandao wenu mtumie wenyewe Uni offer maana mmeona tunafaidi sana . Kwa leo acha niishie hapo tusubir utekelezaji

Ewe mwanachuo Share hadi iwafikie

~Fulldose~```
Na tutahama
Wewe unatakiwa ukamatwe na uchapwe viboko haraka sana. Kwani uliingia mkataba na voda? Get matured.
 
Back
Top Bottom