Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

[emoji23][emoji23]naona waangalia porno wameanza kulia shida na vifurushi vya mawazo......
 
Achana na bei kupanda,bando linanyonywa chap urudi kuunga,wanachuo tunanyanyaswa
 
Mie niliwapigia simu na kuwaelekeza jambo hilo wakasema wanalifanyia kazi kwa kweli walitatue mapema la sivyo nahamia airtel
 
Hata Mimi wameniboa sana wasitegemee ntajiunga uni offer ya sasa nimerudi kwetu nyumban kumenoga.
 
Kwel mkuu walikuwa wanafanya uhaini yani fasta limeisha alooh sirud tena uni offer nainjoy boom pack nyumban kumenoga
Achana na bei kupanda,bando linanyonywa chap urudi kuunga,wanachuo tunanyanyaswa
 
ebo! pambana kama noa wamekaziwa kodi pale kila mmoja na mnyonge wake
 
TANZANIA kua masikini nao eti ni utambulisho mtu anasema mimi mtoto wa maskini
 
Vodacom ni mtandao unaoendeshwa na misukule, na hawa ndio wanaochangia hali kuwa ngumu mtaani hadi tunailaumu serikali...ila nayo serikali inamaana huku haioni au inasubiri upite mda alafu wawapige faini wapate kodi kama kawaida yao?

kampuni zingine zinachangia sana kuzorotesha maisha ya wananchi wa huku chini, hii itakuwemo nayo...hovyo. Taarifa hawatoi utasikia "on maintanance" kumbe mijizi tu, inaseti mitambo namna ya kuwaibia watumiaji😕
 
Madogo wachuo ni wapumbavu sana nyie mnajua VAT wanayokatwa hawa jamaa imekuwa mpaka kero eti wanachuo wanachuo kwani nyie ndio nani kwa Vodacom hata mkihama wote hamna athari yoyote
.
.
Ukituma au kutoa pesa M-PESA na TIGO PESA gharama ni yakutisha mbona hamjalibebea bango hili swala?

Wanachuo washaishaga kitambo
Povu na pumba tupu
 
Mimi siwezi kabisa kufikiri "kidogo" naweza kufikiri "kikubwa" .

Acheni kulalamika jua linawachoma ilihali mna uwezo wa kukaa kivulini.

Serikali yenu mnayoshinda mnaitetea kila siku ndio inapandisha kodi kila kukicha lakini mmefunga midomo.

Mtoa mada ni mnazi mojawapo wa Lumumba, sasa sijui kipi ni kigeni hapo!
Ndugu yangu akili zako ziko makalioni mm kuwasapot CCM inakuhusu Nini cyo kila kitu siasa jinga kwel
 
Back
Top Bottom