Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Rudi nyumbani kumenoga....TTCL kampuni ya kizalendo
 
Kwanini unamlalamikia mtu/kampuni ambayo si mwajiriwa wake na wala haujafungwa ubakie voda, ukiona voda mambo magumu wewe hama kimya kimya. Maana voda haihudumii wanafunzi tu.
Nichapwe viboko kisa nini
 
Hivi bado watu mnaweka vocha voda, nilishasahau toka wapandishe bei vifurushi vyao
 
Voda saiz hovyo kabisa wabadilishe hata mm wasipo badili nahama
 
Huu mtandao umejaa wizi sana!!
Huduma zao n gharama sana wameshindwa biashara sio washindan tena.... Me line yao nshaitupa chooni.
Hamieni halotel
Hamien tigo
Hamien airtel
Ila vodacom mtandao wa kiboya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom