Vodacom mnachowafanyia wanafunzi sio sahihi

Mitandao yote ni shida tupu, haloteli nao wameondoa GB 4 zimebaki 6 tu kwa 10000/-, sasa tuhamie wapi?. Tutafika tu.
 
Kampuni ya Vodacom ni moja ya kampuni ya sim ambayo ilikuja na vifurushi vya chuo kwa wanachuo wanaotumia mtandao huo

Cha kusikitisha ni kuwa ghafla wamepandisha gharama za vifurushi kutoka 500 hadi 1000 pindua pindua,na mbs 500 kwa 1000 kwa saa 24 na kile cha wiki kutoka 1500 hadi elfu 2000 dk 150 na 1 GB

Vodacom wanapaswa kujua wanafunzi wanaotumia mtandao huo wanatoka familia za kimasikini hivyo wanapaswa vifurushi vyao viwe vya chini ili wanafunzi waweze kutafuta material bila shida

Vodacom hatukubaliani na mlichokifanya kwa wanafunzi wa kimasikini

Vodacom rudisheni gharama za mwanzoni za vifurushi vya chuo

Kama mnataka mfidie hela mliotoa kwenye rambi rambi ya MV Nyerere mseme lakini sio kupandisha gharama za vifurushi vya chuo kimya kimya,mnatuumiza bure
 
Ni kwel arafu wameongeza gharama lakn pia kifurushi hawakiboresha kwa kuongeza dk au mB ata moja
 
Tatizo watz tunapenda kulialia afu kujiitia umaskin mno....
unaona hawakufai unaachana nao sio kuhamasisha migomo ya kifala hapa.

Alafu pia ww ni mwanachuo usipende kulalamika sana unajidumaza bure.

samahan kama nitakuudhi
 
Wanalia watz wewe nawe unalia!. Umevamia msiba usiokuhusu na kuanza kulia zaidi ya wafiwa wenywe.....kaa pembeni acha unafiki hayakuhusu ya watz
 
Kampuni ya Vodacom ni moja ya kampuni ya sim ambayo ilikuja na vifurushi vya chuo kwa wanachuo wanaotumia mtandao huo

Cha kusikitisha ni kuwa ghafla wamepandisha gharama za vifurushi kutoka 500 hadi 1000 pindua pindua,na mbs 500 kwa 1000 kwa saa 24 na kile cha wiki kutoka 1500 hadi elfu 2000 dk 150 na 1 GB

Vodacom wanapaswa kujua wanafunzi wanaotumia mtandao huo wanatoka familia za kimasikini hivyo wanapaswa vifurushi vyao viwe vya chini ili wanafunzi waweze kutafuta material bila shida

Vodacom hatukubaliani na mlichokifanya kwa wanafunzi wa kimasikini

Vodacom rudisheni gharama za mwanzoni za vifurushi vya chuo

Kama mnataka mfidie hela mliotoa kwenye rambi rambi ya MV Nyerere mseme lakini sio kupandisha gharama za vifurushi vya chuo kimya kimya,mnatuumiza bure
serikali yenu iambieni ishushe kodi kwa mitandao ya simu alaaa
 
Wanafunzi wameshaisha 80% ya mnaojifanya wanachuo hampati chochote ni wasindikizaji mnatutia hasara loan zenu hamlipi.
.
Voda wembe ni uleule.
Kuna watu ni maskini mwezi mzima anaweka 500 tu wewe mwanachuo kwa wiki 5000 unajiita toto la maskini
Na nazani wengi wa walalamikaji si wanachuo
 
MODS MBONA HUU UZI HAMUUNGANISHI KTK UZI WA VODACOM[emoji3][emoji3][emoji3]

Na uhakika mtu aki create uzi hapa za lawama hususan huduma mbovu ktk kampun ya VODA au TANESCO uzi unahamishiwa huko kwa WALENGWA[emoji3]
 
Back
Top Bottom