wangetoa halotel sipati picha 10GB za usiku
Tumia tu kiswahili ndugu yangu achana na lugha za watu hizi. Wana lunch ndo nini? Sema wana LAUNCH. nasisitiza tumia kiswahili.sema wanazindua.
Simu yako ina-support 4G?Mimi nimechukua but haisomi 4g
Mkuuu simu yangu mim ni tecno f5 ambayo niliwahi kuwaconsult tigo kwa ajili ya 4G wakaniambia haisupport wakati kwenye setting zake ipo hiyo kitu ya LTE nashindwa waelewa hawa hebu nisaidie inakuwaje hii1800
wana line, pia modem na router sema wanaziuza ghali sana, bei ya router unapata simu mpya ya 4g
Mhh mbona tayari zipo vodashop zoteIyo utakuwa umepigwa changa la macho maana voda bado hawajanZa kutoa line za 4G,campany ya mwisho kutoa 4G ni TTCL
unatumia tu mkuu.
nenda kamata kwenye ofisi zao, unaweza kuwa sahihi ila nakumbuka niliziona modem.Nilifika mobile plaza wakanambia kuwa modem za 4G bado hazijatoka.
Simu inaweza ikawa ina support 4G lakini isikubali ya tigo ila ikakubali ya ttcl au smart ina tegemeana na frequency ya 4G ya simu yako kama inaendana naya mtandao husika basi utaenjo.Mkuuu simu yangu mim ni tecno f5 ambayo niliwahi kuwaconsult tigo kwa ajili ya 4G wakaniambia haisupport wakati kwenye setting zake ipo hiyo kitu ya LTE nashindwa waelewa hawa hebu nisaidie inakuwaje hii
Vipi kuhusu gharama ya kuswap..?Nimeswap pale mobile plaza kaka siyo uchochoroni kama unavyodhani
kama wewe sio mtumiaji wa muda mrefu wa Vodacom unaweza usiamini, kwa kujiridhisha tu wewe mwenyewe jaribu kustream youtube video kwa kutumia EDGE ya Vodacom kisha njoo kwenye 3G,H, H+ kisha umalizie na LTE 4G ndio utajua kama ni kweli au uwongoJamani hiyo MB 67 per sec ni kweli
Jamani hiyo MB 67 per sec ni kweli
Mkuuu simu yangu mim ni tecno f5 ambayo niliwahi kuwaconsult tigo kwa ajili ya 4G wakaniambia haisupport wakati kwenye setting zake ipo hiyo kitu ya LTE nashindwa waelewa hawa hebu nisaidie inakuwaje hii
File la gb 4 hapa laisha chini ya dakika 9..kweli hawa testing yao ya miaka 3 kwenye mtandao wa 4g ulikuwa sio bure.
Tumia tu kiswahili ndugu yangu achana na lugha za watu hizi. Wana lunch ndo nini? Sema wana LAUNCH. nasisitiza tumia kiswahili.sema wanazindua.
Ni kweli nimewasiliana na mtu wa voda kaniambia wanatumia 1800.Hii ni nzuri sana maana kila device ya 4G ina hii band.3g wote wanatumia 2100 kasoro smart. inawezekana kabisa kutumia frequency moja
vyote vinawezekana lakini kwa mashartiMi simu yangu inasapoti "E" lakini kwa speed ya ku-browse nawaacha mbali sana wenye 3G, kwangu hili ni moja ya maajabu hadi nashangaa.
Halafu huwa nakuwa na mb 3 natumia masaa matatu Jamii Forums, mpaka nashangaa, mb 20 huwa nadownload nyimbo zaidi ya 8.