Mr Kicheko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 789
- 214
VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTE
Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi.
Nilipo pata mda ndiyo nikaiweka kwenye handset ila nilichogundua hii line ni tofauti na nyingine maana yenyewe ina rangi ya pink kama Halotel alafu imeandikwa 4G Lte.
Je hawa jamaa wamelaunch kimya kimya au.....!!
Maana sikupata muda kuwauliza pale service centre pia sina kifaa cha 4G