REAGAN C.MABOGO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 1,269
- 1,007
Wamesema "HAPA KASI TU" sawa sawa na "HAPA KAZI TU". Waachieni CCM internet yao!Mimi siyo mwana ccm ila net ya tigo na halotel utanisamehe bure!
Mie voda yatosha!
Wamesema "HAPA KASI TU" sawa sawa na "HAPA KAZI TU". Waachieni CCM internet yao!Mimi siyo mwana ccm ila net ya tigo na halotel utanisamehe bure!
Mie voda yatosha!
. Hiyo ni tigo 4G speed test![]()
Mkuu wametoa na modem zao za 4G?Duh kweli ndio nimetoka kutest hata mimi sasa hivi Nimeona nimeenda chaka na hizi converter za Google.
Wao wansoma hii mb/s kama megabyte.
inakuuma nin wewe? acha wivuIMELETWA KWAAJILI YA CCM NA WANACCM.! SISI HAITUHUSU! TIGO NA HALOTEL ZINATOSHA SANA.
Sasa kama chadema hamna slogan unategemea ninoWamesema "HAPA KASI TU" sawa sawa na "HAPA KAZI TU". Waachieni CCM internet yao!
Bado sifahamu kama wanazo maana hata line yenyewe sijaenda kuchukuaMkuu wametoa na modem zao za 4G?
nikazinunue maana naona tigo uchwara tuu.
Simu inasoma E.Kwa mfano hupo kijijini mitandao unasoma E unatumia cm yenyeuwezo wa 4G na unaline ya 4G Je unaweza kupata speed kubwa ya hio 4G?MSAADA tafadhari
Ahh.. Itafika tu... Unadhani nani alifikiria vijijini kutokuwa na Internet ya 8mbps lakini halotel akaja na kubadilisha yote hayoDaaa wa kijijini tutaishia kusikia kwenye redio hio 4G sasa
NopHivi ukiwa na Simu inayo support 3g halafu ukawa na line ya 4g he Simu itasoma 4g?
unatumia tu mkuu.hivi kweli naweza kutumia iyo line ya 4g ktk moderm ya kawaida au kuna moderm za 4g?
VODA WAMEANZA KUGAWA LINE ZA 4G LTE
View attachment 344867
Wanabodi Jana nilienda kuswap line yangu ya voda, baada ya kupewa line mpya nikaitia mfukoni maana nilikuwa na majukumu mengi.
Nilipo pata mda ndiyo nikaiweka kwenye handset ila nilichogundua hii line ni tofauti na nyingine maana yenyewe ina rangi ya pink kama Halotel alafu imeandikwa 4G Lte.
Je hawa jamaa wamelaunch kimya kimya au.....!!
Maana sikupata muda kuwauliza pale service centre pia sina kifaa cha 4G
Voda wanalunch 4G tarehe 17 mwezi huu.