Voda watoa 4G LTE

Voda watoa 4G LTE

hapo sijaelewa mbona 4.3Mbps ndogo sana

b= bits
B=Bytes
b09470bbecaec3165158077bf76fc78f.jpg

c22e5fa26f93964e42d32a5f09ea64a4.jpg


Tena hiyo upload speed ni impressive.
 
Hapo sihaelewa unafanyafanyaje hapo?na 4g waga inasapotiwa na line au sim?
lazima kifaa chako kiwe kinauwezo wakusopport 4g na uwe na laini ya 4g but voda wanagawa bure kwa mteja wa zamani but kwa mteja mpya 500
 
b09470bbecaec3165158077bf76fc78f.jpg

c22e5fa26f93964e42d32a5f09ea64a4.jpg


Tena hiyo upload speed ni impressive.


wewe ndo unachanga mafile Mkuu

Standard way ya ku express speed ni katika Bits na b ikiwa ndogo ni bits wakati B ikiwa kubwa means ni Bytes

Na ndo OOkla speed test wanachofanya ingia kwa pc Ujionee

au angalia hizi picha mbili

5313480935.png


f8jZjE.png



Kama bado haujaelewa angalia picha yake ya pili aloweka
 
wewe ndo unachanga mafile Mkuu

Standard way ya ku express speed ni katika Bits na b ikiwa ndogo ni bits wakati B ikiwa kubwa means ni Bytes

Na ndo OOkla speed test wanachofanya ingia kwa pc Ujionee

au angalia hizi picha mbili

5313480935.png


f8jZjE.png



Kama bado haujaelewa angalia picha yake ya pili aloweka
Duh kweli ndio nimetoka kutest hata mimi sasa hivi Nimeona nimeenda chaka na hizi converter za Google.
Wao wansoma hii mb/s kama megabyte.
 
Haiwezi kusoma mkuu mwenyewe nimepuyanga nimeenda kuswap line ya tigo kumbe device yangu haisupport hiyo 4g yao....
 
Kuna kitu kinaitwa Staying Ahead of the Curve. 3G ni technology iliyopitwa na wakati kwa sasa na technology inakuwa kwa kasi sana, simu za 4g zinatoka nyingi kwa bei ndogo huwezi poteza hela kutengeneza kitu kilichopitwa na wakati... wakati unaweza tumia hiyo hela kuboresha hizo Base Station kusupport 4g. Content now inataka faster upload na download speeds na hichi kitu awajakurupuka walikuwa in testing tokea 2013 na market research wamefanya.

Mtapiga makelele humu ndani kuwa Halotel ndio the best (hata mimi na wapenda na kutumia) lakini mwisho wa siku vodacom ndio ana subscription kubwa kuliko mitandao yote Tanzania na pia ndio anagenerate mpunga mrefu kuliko wote. Cha kuomba sasa ni vifurushi vipungue bei.



Msiturudishe nyuma.... 3G, H, H+ mwisho. Zantel, Tigo, TTcl, Vodacom washajoin the revolution nyie ambao hamtaki maendeleo bakini hivyo hivyo.


Ila Halotel coverage yao ni nzuri karibu nchi nzima.Sasa hawa wengine wanawekeza mjini tu kwa hiyo unakuta wateja wanahangaika kupata huduma zao.Mie nadhani suala sio kuwa na teknolojia ya kisasa tu pia uangalie na coverage.Kwa hili naona Halotel ni bora zaidi kwa sababu hata matumizi ya watu wengi hayahitaji speed kubwa sana hata 3G inatosha.
 
Ila Halotel converage yao ni nzuri karibu nchi nzima.Sasa hawa wengine wanawekeza mjini tu kwa hiyo unakuta wateja wanahangaika kupata huduma zao.Mie ndhani suala sio kuwa na technlojia ya kisasa tu pia uangali na coverage.Kwa hili naona Halotel ni bora zaidi kwa sababu hata matumizi ya watu wengi hayahitaji speed kubwa sana hata 3G inatosha.

Umenena!

Kwa watu wengi 3G ikiwa inakupa speed nzuri baasi.

Kwa mfano nimetest speed ya voda 3G hapa sasa hivi. Ping ni 28ms, downloading ni 9 Megabits kwa sekunde!

Hii kwa matumizi ya kawaida unafanya shida yoyote!
 
kuna mtu anapata 50Mbps download na 20Mbps Upload

Ila kwa bundle la kupimiwa kwa kibaba bado ni pagumu I see you cant freely download big files au stream
Ndio maana tunasali Airtel wa upgrade to 4g au Halotel maana lile bundle la 2.2gb kwa 1500 ni zuri sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom