Voda watoa 4G LTE

Voda watoa 4G LTE

d8d3f71980848d41cb98d9c3f3f78bf6.jpg
voda ni kwereee
 
Ni kweli nimewasiliana na mtu wa voda kaniambia wanatumia 1800.Hii ni nzuri sana maana kila device ya 4G ina hii band.
mkuu hizo ni band za kwetu, simu za marekani na china nyingi hazina hio band.

simu nyingi za ulaya, mashariki ya kati, Africa na asia ya kina india ndio zinakuwa na band hizo
 
BdQUOTE="Vietnam, post: 16173012, member: 312437"]Wangeweka makao ya mikoa yote ...au ndio dar tu[/QUOTE]
Bdo wanasambaz
 
Hivi Voda wametoa pia vifurushi vya 4G au vinatumika vile vya kawaida?
 
Tanzania tuko mbele sana
Kenya wao ni safaricom pekee wakati sisi huku
TTCL
tiGO
vodacom
Smart
Smile
Aiseeeeee kazi kwetu
Ila slogan yao tu ndo imenitoa
 
Tanzania tuko mbele sana
Kenya wao ni safaricom pekee wakati sisi huku
TTCL
tiGO
vodacom
Smart
Smile
Aiseeeeee kazi kwetu
Ila slogan yao tu ndo imenitoa
Huku pia ni nyingi sana hasa hizi za fiber unaletewa hadi nyumbani kwako mf. Zuku unapata internet tv na simu na bei sio kaali kivile
 
Huku pia ni nyingi sana hasa hizi za fiber unaletewa hadi nyumbani kwako mf. Zuku unapata internet tv na simu na bei sio kaali kivile
Ahh hiyo fibre ya zuku kwa 200,000 unlimited 60mbps ninaitamani sema ukweli.
Sijui kwa nini awatuletei vitu vizuri kama hivi wao wameng'ang'a na ma channel yao ya TV ya ajabu.
 
km itafaa ntashukuru sn maana nmeangaika nayo sn kwenye 3g ilikuwa haishiki kwa mtandao wowote ilkuwa inasoma G tu.!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom