Voda watoa 4G LTE

Voda watoa 4G LTE

e87de933ee14eb9f49e18bd9c3ee0532.jpg

Haya sasa wa chanika na mbezi sahau
 
Siku ukitumia 4G utajuta muda ulopoteza kwenye 3G

Hiyo 3G ya kujutia inabidi u specify ni ya speed gani.

Mie kwa 3G napata speed ambayo hata HD video inacheza bila shida.

Hata nina hamu ya kupata 4G niitumie kwa iphone yangu!!!
 
Voda kiburi balaa ,alikuwa na nafasi nauri ya kufanya vizuri kwenye cellular network lakini ndio hivyo tena halotel ndo kachukua hiyo nafasi , kuna umuhima gani wa kuwa 4g network wakati 3g yenyewe inasuasua kwa maeneo mengi
 
Kuna kitu kinaitwa Staying Ahead of the Curve. 3G ni technology iliyopitwa na wakati kwa sasa na technology inakuwa kwa kasi sana, simu za 4g zinatoka nyingi kwa bei ndogo huwezi poteza hela kutengeneza kitu kilichopitwa na wakati... wakati unaweza tumia hiyo hela kuboresha hizo Base Station kusupport 4g. Content now inataka faster upload na download speeds na hichi kitu awajakurupuka walikuwa in testing tokea 2013 na market research wamefanya.

Mtapiga makelele humu ndani kuwa Halotel ndio the best (hata mimi na wapenda na kutumia) lakini mwisho wa siku vodacom ndio ana subscription kubwa kuliko mitandao yote Tanzania na pia ndio anagenerate mpunga mrefu kuliko wote. Cha kuomba sasa ni vifurushi vipungue bei.

Msiturudishe nyuma.... 3G, H, H+ mwisho. Zantel, Tigo, TTcl, Vodacom washajoin the revolution nyie ambao hamtaki maendeleo bakini hivyo hivyo.
 
Unanunua line mpya ya 4G au unaweza ku2mia ya kwako ukapata huduma za 4G?
 
Hiyo 4g mbona sioni tofaut na 3g ya halotel
 
Yaani dowload ni 4Mbs!?? Kawaida sana hiyo! Watumiaji wakiongozeka itapungua
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom