Vivo ni moto

Vivo ni moto

Hivi hizi xiaomi ndogo ndogo kama 9c 9A,Poco M3 nk
au tuseme tu Xiaomi kiujumla zina mziki mzuri wa kwenye earphone kama zilivo samsung,apple nk?
Yaan umenifanya nisikilize nilikua bado.... Naona mziki wake si haba uko vizuri, kwa Samsung yangu sauti haijafikia, kwa Apple sijawahi tumia simu zao.
 
Kama mziki ni priority marehemu LG alikuwa bora zaidi kwa zama zetu.

Cha muhimu kuangalia ni Dac na Amplifier kwenye simu, hasa kutumia port ya Type C unapata Audio kali zaidi.
mkuu naomba msaada wa kitaalamu, nina kama 850,000 na ninaweza ongeza kidogo hapo kama 150,000. Nipate kasimu kazuri, kati ya OnePlus na Redmi ipi itanifaa na kwa toleo gani na specification zipi. Natanguluza shukrani zangu
 
Kama perfomance ni priority unataka simu ya bei kwa ajili ya vitu kama games, app nzito nzito, na mambo mengine ya power user nunua Poco F3.

Kama una matumizi ya kawaida na unataka simu all a rounder ambayo ina features nyingi Angalia flagship za mwaka juzi, OnePlus 7T, Samsung S10, LG G8x etc zinakuwa nzuri kila idara ila zinapitwa perfomance na Poco F3.
 
Naangalia zaidi petformance mkuu. Poco F3 zinapatikana wapi hasa kwa Dar es Salaam ?
 
Huzipati mkuu, hizi Aliexpress, bei around laki 8 (dola 350)
kwa ambayo naweza pata chap chap humu ndani, sitaki samsungu nilikuwa na A71 ikapotea. Nahitaji kati ya xiaomi au oneplus ambayo ni nzuri kwenye perfomance hata kesho nikitaka kwenda kununua niipate. Nina uharaka sana simu. ila isizidi 1 million
 
Kama mziki ni priority marehemu LG alikuwa bora zaidi kwa zama zetu.

Cha muhimu kuangalia ni Dac na Amplifier kwenye simu, hasa kutumia port ya Type C unapata Audio kali zaidi.
Hakika Lg walikuwa vizuri sana kwenye audio
Xiaomi naona hawapo vizuri sana hiyo redmi 9t is even worse , sound mbaya . Redmi Note 7 kulikuwa na audio improvement ukiset user region ya India .ila hii redmi 9t hata ukiset india location hamna sound improvement.
 
Unaweza kuagiza aliexpress ila ukatumia shipping ya dhl. siku tatu tu mzigo upo mjini
A bit expensive though
 
kwa ambayo naweza pata chap chap humu ndani, sitaki samsungu nilikuwa na A71 ikapotea. Nahitaji kati ya xiaomi au oneplus ambayo ni nzuri kwenye perfomance hata kesho nikitaka kwenda kununua niipate. Nina uharaka sana simu. ila isizidi 1 million
Huwezi, simu zote zenye Performance ya Poco F3 zinauzwa zaidi ya milioni.

Xiaomi utakayopata laki 8 kibongo bongo itakua mbaya. Angalau hata Kenya. Kenya unapata Redmi k40 around 980,000, ni simu moja na hio poco F3.
 
nimeona hii. Shiping nimeona wana standard ya posta. Kama elfu 17, TRA nasikia nao wanataka 18%.. shida mda tu. hao dhl sijajua wao ni bei gani.. ingawa kuna moja niliona ni kama laki sita, nikaona sio rafiki

S10411-17313483.png
 
Hakika Lg walikuwa vizuri sana kwenye audio
Xiaomi naona hawapo vizuri sana hiyo redmi 9t is even worse , sound mbaya . Redmi Note 7 kulikuwa na audio improvement ukiset user region ya India .ila hii redmi 9t hata ukiset india location hamna sound improvement.
Mkuu hii simu ni ya bei rahisi sana, na iona hadi 310,000 Kenya hapo, si rahisi kuwa na Audio nzuri.

Kwa Wachina Meizu alikuwa na Audio kali nae.
 
Hakika Lg walikuwa vizuri sana kwenye audio
Xiaomi naona hawapo vizuri sana hiyo redmi 9t is even worse , sound mbaya . Redmi Note 7 kulikuwa na audio improvement ukiset user region ya India .ila hii redmi 9t hata ukiset india location hamna sound improvement.
Noma kweli mkuu,kwamba sound quality ilikuwa inategemea na region
 
Kama mziki ni priority marehemu LG alikuwa bora zaidi kwa zama zetu.

Cha muhimu kuangalia ni Dac na Amplifier kwenye simu, hasa kutumia port ya Type C unapata Audio kali zaidi.
Kama simu haina hiyo DAC na amplifier,kuna namna yoyote unaweza unafanya ili upate hiyo sound nzuri?
 
Hii ni 256GB ndio maana bei ni ghali, ya 128 hata wakikata 18% bado ipo ndani ya budget.
Asante sana. swali la mwisho, hapa kwenye shiping ya hizi nimeona wanatumia standard ambayo ni siku 46. Hakuna option ya kubadilisha na kutumia kama Fedex au Dhl ? nifanye kulinganisha na bei zake
 
Kama simu haina hiyo DAC na amplifier,kuna namna yoyote unaweza unafanya ili upate hiyo sound nzuri?
Headphone zinakuwa na hizo tech built in, zile za bei ghali,

Pia kuna external amplifier unazo connect kwenye USB. Kama upo tayari kubeba mzigo.
 
Back
Top Bottom