Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 8,501
- 15,245
Habari wataalamu,
Niko mbioni kununua simu yenye uwezo mkubwa kwa ajili ya shughuli zangu za kiofisi, katika pita pita nimevutiwa na hizi simu mbili
Xiaomi 15T na Samsung A56, Wataalamu hapa nivute ipi
Reuben Challe Chief-Mkwawa