Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,157
- 31,334
Simu yenye option ya kutumia menu za kiswahili, lakini yao imeboreshwa kidogo si kama tecnoKivipi mkuu fafanua vizuri
Simu yenye option ya kutumia menu za kiswahili, lakini yao imeboreshwa kidogo si kama tecnoKivipi mkuu fafanua vizuri
Mkuu mimi personally sijawah kuzitumia zaidi ya kuziona kwenye picha. Ila nina kaproject nao ka kuwatengenezea UI strings za Kiswahili na user guide.Utovauti wa vivo na tecno ni upi mkuu
Utovauti wa vivo na tecno ni upi mkuuSimu yenye option ya kutumia menu za kiswahili, lakini yao imeboreshwa kidogo si kama tecno
Sawa kiongozi nimekupataMkuu mimi personally sijawah kuzitumia zaidi ya kuziona kwenye picha. Ila nina kaproject nao ka kuwatengenezea UI strings za Kiswahili na user guide.
Halafu naona logo ya mi
Agiza toka kwenye website yao. Utaletewa mpaka mlangoni.NAIPENDA MNO ONE PLUS NIMETAFUTA DAR SIJAPATA
Ilete kiongozi tuone kaka kama tunaweza jilipuaAgiza toka kwenye website yao. Utaletewa mpaka mlangoni.
Moja ya Sababu ya simu za xiaomi kuwa bei rahisi ni kwamba wanauza tu online, hawahangaiki na mambo ya supply, logistic, support etc.Chief, tofauti za hizo 9, 9a, 9c na 9t ni nini?
Na Kenya waweza jua sehemu wanazouza?
Waweza niwekea bei zake?
Pole kwa maswali lukuki,![]()
Mkuu bado hujaacha kuzipigia chapuo xiaomi tu 😂😂😂!!!Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.
Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
Sidhani kama kuna Full HD Amoled kwa price point ya laki 3. Rahisi zaidi pengine ni redmi note 10, ambayo inakaribia laki 4.Redmi 9t ina lcd display , niliagiza ila imenibidi nimpe tu wife , nimezoea amoled display ya realme x , lcd nikaona inaniumiza tu macho yangu ya uzee., Ila pia kwa music lovers redmi9t ipo weak sana kwenye sound drivers.
Xiaomi ipi na Oppo ipi? Tuanze hapa,Mkuu bado hujaacha kuzipigia chapuo xiaomi tu 😂😂😂!!!
kuna jamaa yangu anayo ni ya kindezi kuliko Oppo
Kipi ambacho oppo anacho xiaomi hanaMkuu bado hujaacha kuzipigia chapuo xiaomi tu 😂😂😂!!!
kuna jamaa yangu anayo ni ya kindezi kuliko Oppo
Anza kumweka Xiaomi hapo ndipo wengine wafuatieKwa moto huu tecno anaaga mashindano afrika
Vivo
Oppo
Xiaomi
Huawei
Redmi na LCD ni kama paka na maziwaRedmi 9t ina lcd display , niliagiza ila imenibidi nimpe tu wife , nimezoea amoled display ya realme x , lcd nikaona inaniumiza tu macho yangu ya uzee., Ila pia kwa music lovers redmi9t ipo weak sana kwenye sound drivers.
Huawei hawezi kuja tena Afrika kwa vile hatumii Android na hana Google support. Atabaki China tuKwa moto huu tecno anaaga mashindano afrika
Vivo
Oppo
Xiaomi
Huawei
Redmi note 10, note 10 pro, K series toka za zamani zote zina amoled.Redmi na LCD ni kama paka na maziwa