Vivo ni moto

Vivo ni moto

Hapa pia kuna upigaji wa maana mkuu.

Vivo Y20S inauzwa zaidi ya laki 6, ni simu ambayo thamani yake haizidi laki 3

Bora mkuu ujichange mwenyewe kuliko kulipa kitu mara 2 ya thamani halisi.
bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu.

Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda
REDMI 10 4/128 = 480,000

Redmi 10C = 128GB 400,000

NOTE 11 6/128GB 550,000
 
bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu.

Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda
Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa,

Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12.
 
Note 11 achana nayo mkuu sababu note 12 inatoka tarehe 5 subiria wiki kadhaa,

Redmi 10 pia ishapitwa na wakati, 10C sio mbaya maana mpaka sasa haina successor ila kwa laki 4 subiria note 12.
Sawa mkuu, shukrani sana.
 
Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone.

Asante na wasilisha.

Cc chief Mkwawa
Yaani nimesoma heading, nikajua ndo unatueleza kuwa simu aina ya VIVO ni moto, kumbe nawe unaulizia..!!!
 
Back
Top Bottom