Vivo ni moto

Vivo ni moto

Specification za kifaa husika, kuanzia processor iliotumika, ukubwa na speed za ram, ukubwa na speed ya storage, wifi, Bluetooth, band za 4g, speed ya 4g, etc mambo ni mengi unaweza Angalia specs za simu husika gsmarena.
Shukrani kiongozi ni kupata sana
 
IMG-20210329-WA0002.jpg
 
Vivo zenye MTK hazina utofauti na Tecno. Tafuta Oppo yenye snapdragon labda ndio utaenjoy.

So far Oppo nyingi zinazoletwa Bongo ni MTK.
Tabia ya kuidharau MediaTek tutaiacha kama hizi EV cars zitaendelea kula processors nyingi. Mediatek Dimensity 1000 na 1200 zimekuja kwa wakati sahihi ambao vifaa vinavyotaka chips ni vingi mpaka products kubwa za wengine kama Exynos na Snapdragon zinazidiwa orders.

Mediatek sio mbaya kama tunavyoichukulia angalia performance yake miaka hii miwili kwenye testing kama Geekbench na AnTunTu.

Kwa midrange za hadi 1.2M hakuna sababu ya kuidharau MTK. Tutaikataa tukianza zungumzia flagship
 
Kwa anajua kuusu simu za vivo atupe mwanga kidogo nasikia ni simu nzuri kwa sasa ukiachana na samsung na iphone.

Asante na wasilisha.

Cc chief Mkwawa
Wanakuja na menu za kiswahili mm uwa zinanizngua
 
Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.

Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
Chief, tofauti za hizo 9, 9a, 9c na 9t ni nini?
Na Kenya waweza jua sehemu wanazouza?
Waweza niwekea bei zake?

Pole kwa maswali lukuki,
 
Xiaomi redmi 9 mkuu, sema kuipata kwake ni Kenya. Ni redmi 9 na sio 9c ama 9A.

Pia sometime redmi 9T (nzuri kushinda zote hapo juu) inashuka mpaka hio bei kwenye sale, ila Kikawaida hii 9T inakuwa around 350,000
Redmi 9t ina lcd display , niliagiza ila imenibidi nimpe tu wife , nimezoea amoled display ya realme x , lcd nikaona inaniumiza tu macho yangu ya uzee., Ila pia kwa music lovers redmi9t ipo weak sana kwenye sound drivers.
 
Hata bongo zinapatikana. Kwasasa Xiaomi ndio mpango mzima kwenye Chinese phone.
Ila wamepoteza ladha kwa kuondoa miui dialer na sms app na ku replace na android dialer kwenye global rom zao zote.
 
Back
Top Bottom