Vivo ni moto

Vivo ni moto

Hizi simu zinafanana kuanzia Display, Perfomance, ukaaji chaji etc. Binafsi ningechukua note 10 5G sababu ya 5G.

Ila kama unaweza afford note 12 ni much better kwa ajili ya cpu yenye nguvu na Amoled display.
Leo nilipita mcity nikakuta kuna simu inatumia chip ya dimensity 920.

Unaiongeleaje hiyo chip ukilinganisha na hizi snapdragon?
 
Dimensity 920 ni mediatek pia, inategemea unaipata bei gani. Laki 7 kushuka sio chip mbaya ila juu ya Hapo snapdragon 778G ni soc nzuri zaidi.

Dimensity 920 mwenzake ni Exynos 1280 ndani ya Samsung A33.
 
Hiyo simu inauzwa 1.4M.
 
Naipenda Oppo Reno5 ila bei yake ghali ni sawa na Samsung A52 wakati A52 iko vizuri zaidi. Oppo wanauza simu zao bei ghali kama ndugu zao +1.
Bongo hapa nimeona Reno5 inaanzia 850k.
Jamaa angu alichukua mpya hiyo RENO5 huku Mwanza kwa 500k mwaka jana mpaka sasa anayo..
 
Ni Uwizi kama Uwizi mwingine tu mkuu... MTK kuuzwa 1.4M?
Ni Infinix flani niliiona wakati naeda tigoshop.

Siijui jina wala code yake, ikitokea nimepita tena pale ntaichukua code yake.

Na screen yake ipo kama zile samsung s7 edge.
 
Zero Ultra

Sasa hivi wana mazombie mpaka ulaya, jana tu nabishana na mtu sehemu fulani kanunua $600 anakwambia hata iphone 14/S22 haingii ndani.
 
Leo niliwapigia tigo wanikopeshe simu ambayo naweza kulipa monthly kwa miezi 6, maana nilishakopaga kipindi cha nyuma kasimu ka 250,000 hivi.

Wakaniuliza unataka simu gani ndugu mteja wetu? Nikasema SUMSUNG. Wakasema wana SAMSUNG A03 ambayo bei ni 600,000. natakiwa kulipia 80,000 kwanza.

Vipi wadau bei hii si imechangamka kupita maelezo hii?
 
A03? Hio si simu ya bei rahisi chini ya laki 3? Mbona kama wanakupiga kwa hio laki 6?
 
Hata mimi nikasema mbona kama bei kubwa sana! Akasema simu wanazokopesha sio zao ni za d-light.

Samahani mkuu, naomba ukipata muda pitia tovuti ya laina fainance uone zile bei za simu wanazokopesha zinaakisi bei ya sokoni? Niliangalia ingawa sio mtaalam but nikaona kama hapana hivi hata kama ni kwa kukopesha.
 
Hapa pia kuna upigaji wa maana mkuu.

Vivo Y20S inauzwa zaidi ya laki 6, ni simu ambayo thamani yake haizidi laki 3

Bora mkuu ujichange mwenyewe kuliko kulipa kitu mara 2 ya thamani halisi.
 
bora umenishitua, jana nikawa nasoma nikiangalia specs za simu nikifananisha na nyingine nikaona kabisa mbona upigaji kabisa huu.

Hesabu za kwenda na cash tigoshop zipo, kuna simu hizi nimezipenda
REDMI 10 4/128 = 480,000

Redmi 10C = 128GB 400,000

NOTE 11 6/128GB 550,000
 
Back
Top Bottom