hilo ndio agizo la kutenganisha data na vifurushi vya maongezi. mfano wake chukulia muda wa maongezi ni kuku na data ni chips halafu serikali ipige marufuku chips kuku, ili upate chips kuku inabidi ununue chips kivyake (data) na kuku kivyake (maongezi). ila kwa huruma zao wauza chips(mitandao) waamue ukinunua kuku wanakuekea na vibale kidogo vya chips (mb 8).
mi nataka tu nijue hekima ya TCRA walioitumia hadi kuamua wavitenganishe hivi vifurushi.
Hilo wazo lilitolewa na hiyohiyo mitandao ya simu. Dhumuni kubwa ni kumaxmize profit. Wauze chips tofauti na kuku.
Hilo wazo lilitolewa na hiyohiyo mitandao ya simu. Dhumuni kubwa ni kumaxmize profit. Wauze chips tofauti na kuku.
Mkuu hawa Halotel nimetest huku manzese wapo vizuri.Speed ya Kobe hiyo
Ila kama ni kijijini Wameteka soko tayari
Mm nina 3G roaming ya Voda kijijini hata kupata 100KB/sec ni ndoto ya abunuasi
Hivo sema eneo lako uko wapi na Voda 3G wanayo na speed unapata ngapi?
sasa wao TCRA kwanini walikubali? kitu gani kimewashawishi wakikubali?
hilo ndio agizo la kutenganisha data na vifurushi vya maongezi. mfano wake chukulia muda wa maongezi ni kuku na data ni chips halafu serikali ipige marufuku chips kuku, ili upate chips kuku inabidi ununue chips kivyake (data) na kuku kivyake (maongezi). ila kwa huruma zao wauza chips(mitandao) waamue ukinunua kuku wanakuekea na vibale kidogo vya chips (mb 8).
mi nataka tu nijue hekima ya TCRA walioitumia hadi kuamua wavitenganishe hivi vifurushi.
Hao Halotel sijui nitapataje line yao?Nimechoka magumashi ya hii mitandao mingine.
Voda kama vile wamekusikia umeona bei mpya za vifurushi!? Hapo bado wengine hawajajibu. Mbona Kazi Ni Kwako!
Mkuu hawa Halotel nimetest huku manzese wapo vizuri.
Speed test inasoma 10mbps na ping no 40.
Inatereza fresh kwenye live streaming
Duuh! hawa jamaa noumer i see
vipi baada ya bundle kuisha?
Ndo Nilichotaka Mkuubundle ikiisha huwez kuconnet chochote zaidi ya homepage ya Halotel
Ndo Nilichotaka Mkuu
Page yao mbona iko under construction
Sasa wewe unaifungua vipi?
Mh.... kwa Offside trick sikuwezi!!Duuh! hawa jamaa noumer i see
vipi baada ya bundle kuisha?
Asante Maana Wengine wanakinukisha 15/10/2015 zikiisha 100MB unakuwa disconnected from free accessMh.... kwa Offside trick sikuwezi!!
Line ni ya dogo alikuwa kaikalia tu maana alikuwa hawezi kuconnect.
Baada ya kuweka Apn nakuanza kufyonza net, kanipora kimoja so bado ina bundle.
Asante Maana Wengine wanakinukisha 15/10/2015 zikiisha 100MB unakuwa disconnected from free access
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?
Ndugu TTCL imedumaa. Acha tz tuwekezwe hadi siku usafi wa mini yetu waje wawekezaji wa kutoka nje
Pathetic... Halafu INAUMA mno kihisia na kiuhalisia
Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana
Halotel imeletwa na mukulu mwenyewe unategemea nn!
Ndo maana sisi tutaitwa wajinga kama tutawaacha hawa CCM wabakie
Hongera rizwani
Ni kwamba siku TTCl wakiachiwa kwenye kifungo walichowekwa watakuwa mbali na hapo walipo.
TTCL wana miundombinu mikubwa sana kwa ajili ya mawasiliano.
Wajanja wananufaika na TTCL.
Imefilisiwa na mbele ya macho yetu hivihivi tunashangaashaa Kama nyumba.. Mwandosya knows the whole sht of it
Haiwezekani kwasababu Airtel wanamiliki hisa nyingi TTCL.
Sasa utaruhusu vipi competitor wako awe huru?
Ni sawa na KQ kununua hisa nyingi Precision Air.
Ndo muichague CCM mshike adabu.
Wataanza kuwapokonya nyumba zenu wawauzie wawekezaji.
Ndo viongozi wa serikali ya CCM.
Mkuu ukimaliza kuandika hapa hili swali, li forward kwa Makamba moja kwa moja.
Sio imedumaa bali TTCL imedumazwa na Serikali yako uipendayo sana!