alovera
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 220
- 173
Ndugu TTCL imedumaa. Acha tz tuwekezwe hadi siku usafi wa mini yetu waje wawekezaji wa kutoka nje
Sio imedumaa bali TTCL imedumazwa na Serikali yako uipendayo sana!
Ndugu TTCL imedumaa. Acha tz tuwekezwe hadi siku usafi wa mini yetu waje wawekezaji wa kutoka nje
Nina iphone. Nasearch vipi mkuu
Si kweli usemalo
Smart wanatumia minara ya HTT na wamekodi network kutoka project ya world bank iliyokuwa inaitwa rural network iliyoendeshwa na ushirikiano na erics tz....
Siku hz hamna wanaojenga minara zaidi ya HTT hata hao vietell walianza kiujenga wakasanda...
Tatizo la 900 haiji yenyewe kama 2100. Ili simu iwe na band 900 inabidi iwe na quadband Ni simu chache sana duniani ambazo zina 900 bila 2100.Wanatumia 900 kwa ajili ya 3G... Si lazima awe na simu tajwa hapo juu..
Nafkiri unaenda setting halafu carrier then unaeka automatic off then angalia hapo kama utauona huo mtandao WA smart, sometime unakua na namba tu sio jina
Tatizo la 900 haiji yenyewe kama 2100. Ili simu iwe na band 900 inabidi iwe na quadband Ni simu chache sana duniani ambazo zina 900 bila 2100.
Ili simu iwe na quadband inabidi itumie soc za highend/za bei ghali ndio maana simu nyingi za kichina hazikamati mtandao WA smart.
Ukiangalia simu za juu nilizotaja zote Ni flagship hizo ndio nzuri za kutestia kama mtandao upo eneo lako.
Mtu akitafuta simu ya kawaida tu inawezekana Hana band 900 matokeo yako asiupate mtandao na akahitimisha haupo kumbe upo.
Na viettel pia wanatumia 900?
Naulizia halotel siyo smart mkuu
Nafkiri unaenda setting halafu carrier then unaeka automatic off then angalia hapo kama utauona huo mtandao WA smart, sometime unakua na namba tu sio jina
Mkuu nimefanya hivyo na kupata Vodacom, TIGO-TZ, ZANTEL-TZ, Airtel, na Hits TZ.
Je hii Hits TZ ni ipi?
kwa mbeya wamewasha na speed iko hivi
hivi hawa vietel c wanahusika na data tu?
kwa mbeya wamewasha na speed iko hivi
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?
kwa mbeya wamewasha na speed iko hivi
Asante mkuu hapo uliponifafanulia quadband mimi sio mzuri kwenye mambo ya simu nilifafanua kwenye part ya network tu na sikujua kama simu zinatofauti as navyoelewa kama simu ina support data na ina band ya 900 ( as nyingi zinazo kwa kuwa voda tigo na airtel wanazitumia kwenye 2G kwa ajili ya coverage ya mbali but smart wanaitumia kwa ajili ya 3G ndio maana wamefunga sehemu chache ila coverage yake ni kubwa mno, ukiangalia nyanda za juu wamefunga kwenye minara 45 tu as kwa mwaka 2014)
Vietell wanatumia 1800 kwa 2G na 2100 kwa 3G.
Tigo wanatumia band ya 800 kwa 4G.
Anayejua ofisi zao zilipo kwa dar, msaada tafadhari