Ngoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.
Speed ya Kobe hiyo
Ila kama ni kijijini Wameteka soko tayari
Mm nina 3G roaming ya Voda kijijini hata kupata 100KB/sec ni ndoto ya abunuasi
Hivo sema eneo lako uko wapi na Voda 3G wanayo na speed unapata ngapi?
kaka Njunwa Wamavokowa Wamavoko nawezaje kupata 3G roaming ya voda??
Kiukweli hapa mtaani kwangu tangu jana watu wanajinafasi hasa walibahatika kupata line zao.nipo mkoani mara
Kama ni kwa PC fanya manual search na uwe ume set WCDMA Only
Mm napata 3G roaming ya Vodacom,Smart na Zantel wote wanatumia network ya TZ01
![]()
Kama ni kwa Android phones nafikiri sio zote zitaweza sana sana za Mchina hazitoweza
Natumia Samsung Grand Prime nime weka tick ya Roaming kwenye network settings na nime set WCDMA Only
![]()
Speed ya Kobe hiyo
Ila kama ni kijijini Wameteka soko tayari
Mm nina 3G roaming ya Voda kijijini hata kupata 100KB/sec ni ndoto ya abunuasi
Hivo sema eneo lako uko wapi na Voda 3G wanayo na speed unapata ngapi?
Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana
ni noma sana...Tangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
Laini zao ukiiweka unakutana na mb 5000
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.
hawa smart wanapatikana nchi nzima lakini hawana ofisi kabisa huko mikoani, na kama hawana ofisi ina maana hawana wafanyakazi mikoani. pia minara wanayoitumia si yao, mmiliki simjui ila nahisi itakuwa ni ya ttcl/serikali minara hii pia ilikuwa inatumiwa na voda kama roaming, ina coverage kubwa sana hadi vijijini ambapo 3g haijafika hii minara imefika.
kama huna ofisi na wafanyakazi inamaana gharama za uendeshaji zinakuwa ndogo sana, inawezekana wakawa wanapata faida kubwa tu. ila ni theory yangu tu wanaweza pia kuwa wanakula hasara
hawatumii band 2100 kama mitandao mengine ya kwetu tafuta simu yenye band nyingi kama s3, s4, s5, s6, iphone zote nk tumia kusearch ili uhakikishe kama upo.
Kama ni kwa PC fanya manual search na uwe ume set WCDMA Only
Mm napata 3G roaming ya Vodacom,Smart na Zantel wote wanatumia network ya TZ01
![]()
Kama ni kwa Android phones nafikiri sio zote zitaweza sana sana za Mchina hazitoweza
Natumia Samsung Grand Prime nime weka tick ya Roaming kwenye network settings na nime set WCDMA Only
![]()
We ni IT au vip cuz number of user affect speed sasa kama mpo kumi y isiwe fastTangu jana natumia mtandao wa viettel kiukweli upo fasta Sana na 3g Yao. Wanafanya majaribio tu lakini nimewakubali,ngoja tusubiri uzinduzi rasmi wiki ijayo
Dodoma mjini. Voda huwa napats mpka 120 ms
Samahani lakini,3g ni kitu kingine tofauti.(3g ina maana ya 3grammes) Hapa tunazungumzia 3G katika masuala ya mtandao,Yaani third Generation.:wink1: