Kun Jr
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 700
- 363
mkuu tupandishie na sie tuonembona speed average hivyo? ping nzuri ila pia watu wakijaa sidhani kama itastahamili.
kwa style hio itabidi wawe na pricing nzuri.
mkuu tupandishie na sie tuonembona speed average hivyo? ping nzuri ila pia watu wakijaa sidhani kama itastahamili.
kwa style hio itabidi wawe na pricing nzuri.
mbona ipo chiniNgoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.
Ngoja nimsaidie. Hiyo apo mkuu.
mh kama ni hivyo afwadhali nibaki na voda yangu tu naona latency ya voda kwangu ipo vzur sana Tatizo wakianza wanakuja na offer kibao baadae wanaanza ukuda eti offer kupiga simu saa 5 usiku mpaka 11 sasa usilale upige misimu huo si utapeli??!!!
![]()
![]()
![]()
mh kama ni hivyo afwadhali nibaki na voda yangu tu naona latency ya voda kwangu ipo vzur sana
USILOLIJUA NI USIKU WA KIZA
Vietel ni jeshi la Vietnam, pamoja na matatizo yoote waliyonayo wameweza kuja kuwekeza nje ya mipaka yao. .hongera zao lakini VP KUHUSU TTCL YETU?
Tatizo la nchi yetu ni Watanzania wapuuz hasa. Makampuni yanapokuja nchi huja na offer nzuri ikiwa na mishahara kwa scale za WHO. HR na watu wanaohusika na mambo ya Utumishi kwenye makampuni ndiyo hasa huwaliza ujinga kwa makampuni ya kigeni. Waziri wa kazi aliwahi kwenda Mtwara na alilalamika kuwa watu wa HR wanachangia kushusha maslah ya wafanyakazi hasa kule kwenye miradi ya gesi!
Tatizo wakianza wanakuja na offer kibao baadae wanaanza ukuda eti offer kupiga simu saa 5 usiku mpaka 11 sasa usilale upige misimu huo si utapeli??!!!
Ni kwamba siku TTCl wakiachiwa kwenye kifungo walichowekwa watakuwa mbali na hapo walipo.
TTCL wana miundombinu mikubwa sana kwa ajili ya mawasiliano.
Wajanja wananufaika na TTCL.
Nashindwa elewa kwanini TTCL imekufa na hata kusimama haisimami...
Inakuwaje nchi tunaikaribisha kampuni ya Kijeshi ya nchi nyingine kuja kuwekeza kwenye mawasiliano nchini kwetu?
Hii nchi akili hatuna... na bado kuna wengine wataichagua CCM...
TTCL yafaa
Hao Halotel wajiandae kisaikolojia maana upinzani wa Tigo, Voda, Airtel ni noma sana
Kwa uwekezaji wa viettel waliofanya, tigo na voda watasumbuka nao sana.
Hawa jamaa wamedhamiria.
Selling point yao ni internet, hapo ndo wakina tigo, voda na airtel wanapopoteana.
mbona speed average hivyo? ping nzuri ila pia watu wakijaa sidhani kama itastahamili.
kwa style hio itabidi wawe na pricing nzuri.
Kwenye data ndio watawashindia ila mie nilitaka TTCL ndo wapewe kipaumbele hicho
Imefilisiwa na mbele ya macho yetu hivihivi tunashangaashaa Kama nyumba.. Mwandosya knows the whole sht of it
Hivi inakuaje Waziri analalamika? sasa akilalama sijui nani atatusaidia...
Smart ndo imeshajifia.
Samahani lakini,3g ni kitu kingine tofauti.(3g ina maana ya 3grammes) Hapa tunazungumzia 3G katika masuala ya mtandao,Yaani third Generation.:wink1:
Ndo viongozi wa serikali ya CCM.