Viva viettel (halotel)

Mabadiliko sio serikalin tu hata kwenye mitandao kiukweli haya mamitandao yametuchosha wanatunyanyasasa huwez fanya 500/=,1mb,40sms in 24hrs ivi hawajui nch hii inasikini weng yaan nchi hii shida tu kila kona usumbufu ukisemea umeme,bei ya vitu,haki zetu,hosptalin yaan nafikia sehemu nami nataka mabadiliko
 
Umeshindwa kujibu hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Achana na mimi, jibu hoja zangu.

Kwa kukukumbusha tu, hata huu mtandao unaoutumia leo ulianzia "jeshini" USA.

Hahahaahaaaaa una hoja gani za kujibiwa na mimi wewe.. Narudia tena Leo kusema to me you are a meaningless idiot na hilo litabaki hivyo Kama kuna watu nilishawahi kuwadharau na kuwaona hamnazo na hawaambiliki wewe faizafoxy ni mmojawapo... Kwahiyo Usitake kutafuta kick kwa kuchokonoa post zangu... UKIAMBIWA sikia la sivyo utakuwa na matatizo ya akili
 
Haraka yote hiyo kisa alikuwa anataka kuniponda, akaishia kujiponda...

Mkuu Hapo unatwanga maji kwenye kinu ,kama unapenda kutumia pain killers endelea nae
Huyu bibi sijui ni kiumbe cha aina gani
 
Mkuu Hapo unatwanga maji kwenye kinu ,kama unapenda kutumia pain killers endelea nae
Huyu bibi sijui ni kiumbe cha aina gani

Nampotezea Sana tu lakini kuna wakati inabidi kumwambia kinachomstahili
 
Lengo Ni ununue vifurushi viwili, hivyo tafuta Kifurushi cha bei rahisi kila mahala viunganishe unaweza pata kifurush kizuri. Mfano Tigo wana Kifurushi cha 250 unapewa Mb 50 unganisha hicho na kifurush cha bei rahisi cha kuongea.

Wana kifurush cha saa na cha bure(12asbh-saa 3 asbh) unganisha na hivyo kama cha juu hakitoshi
 
Umeshindwa kujibu hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Achana na mimi, jibu hoja zangu.

Kwa kukukumbusha tu, hata huu mtandao unaoutumia leo ulianzia "jeshini" USA.

Na unaoutumia wewe umeanzia wapi?
 
Umeshindwa kujibu hoja unaanza kuhororoja na kubwabwaja bila mpango. Achana na mimi, jibu hoja zangu.

Kwa kukukumbusha tu, hata huu mtandao unaoutumia leo ulianzia "jeshini" USA.

Mbona mimi nafahamu ni umoja WA ulaya ukishirikiana na Nokia, Alcatel, Ericsson na kampuni nyengine za ulaya.

Na simu ya kwanza ikipigwa na waziri Mkuu WA Finland (nyumbani kwa Nokia)

Na hadi Leo mitandao yetu ya simu isiponunua miundombinu kwa hao hapo juu basi labda ataongezeka huawei na zte sijawah sikia kampuni ya kimarekani ikiuza
 
mkuu jibu zuri lilishatolewa kuwahusu halotel

Utabwabwaja na kuhororoja sana lakini kumbuka kuwa nilishakwambia ukidanganya tu utaniona, mpaka ujuwe maana ya ukweli ni nini.

Na unajuwa nnavyokubamba mpaka unashindwa kujibu hoja unakuja kuhororoja na kubwabwaja bila mpango.
 
Pyuu uchafu mwingine huu, umeona alichoongea Chief-Mkwawa? Hata kumjibu umeshindwa... Una ukweli gani wewe unaojivunia? Mara ngapi tumekutoa knockout wewe nanihii? Una hoja ipi ya kujibiwa? Wewe ni nani kwangu? You are so silly you old rag thinking you know everything, huwa sikutofautishi na hilo zimwi
 
Last edited by a moderator:

Si Chief-Mkwawa tu ambae sijamjibu, ni wengi walio comment sijawajibu na wala sina haja ya kuwajibu, mimi hapa nipo kukupa wewe darsa ili uache uongo, wengine hao hawaelewi hilo.

Nnafurahi kuwa umeanza kuacha kutuma ule uongo wako wa kijinga lakini bado hujanyooka kabisa, utanyooka tu. Ukipenda usipende - kumbuka hilo.
 
Last edited by a moderator:

Kwako mshana jr ni habari nyingine ndio maana huishi kumshobokea hata baada ya kupewa live na kuwekwa kwenye ignore list yake.
 
Last edited by a moderator:
Kwako mshana jr ni habari nyingine ndio maana huishi kumshobokea hata baada ya kupewa live na kuwekwa kwenye ignore list yake.

Wewe bwabwaja na kuhororoja lakini darsa linakuingia na umepunguza uongo. Inapaswa unishukuru kwa hilo.

Na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…