Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

tumualike, mzee was MIGA haje atuambie kwanini anapinga vita ya serikali dhidi ya ulinzi was maliasili zake, kama Madini
 
maCCM mnaongoza kwa Unafiki .........

Ni sawa na map.um.bu ya Mbuzi yanaenda mbele na kurudi nyuma
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.

Namkubali kwa kuwa ni Great Thinker kama vile slogan ya JF ilivyo "Anadiriki kusema wazi." Amediriki kuhoji juu ya makinikia, Mishahara hewa, ajira hewa, vyeti feki na mengine mengi kwa nafasi yake kama mkuu wa nchi.
 
Maguli? Mbona mnaandika kama mmejaa mapovu? mazuri anayofanya hata mimi nayakubali ila sio kwa hayo aliyosema mtoa hoja, mnajitoa ufahamu kwelikweli.
Najua akiri yako ilipogota ila ukweli unaujua ila hautaki kukubali kuwa jamaa ni kazi tu! Siasa inamuda wake.
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
Anakubalika kwa mataahira ya Lumumba!!
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.
  • Anikamatie wauaji wa Mkuranga na Rufiji
  • Akomeshe uvunjaji wa katiba ya Jamuhuri ya Muungano unaofanywa na Zanzibar
  • Asimamie uhuru wa imani ya dini kwa upande wa Zanzibar
  • Anisafishie BOT, Uhamiaji na TAA-Tanzania Airport Authority kama alivyo fanya Bandarini na ATCL

Akiyafanya hayo mimi Automata nitarudi kumpenda kwa asilimia 99
 
Cha kushangaza.. Apa watajaa wanafki zaidi wasiomkubali na comments zao.. We kama humkubali waja huku comment nini..wakati post yasema WAZI KABISAH WANAOMKUBALI NDO WAJE HAPA.!?
Ndo hpo wale wa side B wanaosema TWAWEZA, wamesema wafuas wengi wa ccm ni wajinga, utawakuta wski comment, sasa hpo ujanja wao ni upi kma wameshindwa kuelewa kichwa cha habari tu...
 
Hii haina kumung'unya maneno wala kupepesya macho,kwani kila mtanzsnia anaona kinacho tendeka kwani Mh Rais anaweka misingi ya haki na utawala wa sheria.
Hivyo kama unaona anachokifanya ni fahari ya nchi hii ngonga like na njoo tujadili.

Kakakiza -kiza ( the last abbreviations) = Giza
Hakika bado uko gizani.
 
Back
Top Bottom