Waga
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 322
- 14
Hapa cha muhimu ni kuwa nyuma ya serikali na Ewura tu, hawa wafanyabiashara wa mafuta naona wanataka kuwanyonya wananchi wee mpaka wabakie hawana kitu, sasa cha muhimu nikuwakomalia na hakuna kutetereka, nina hakika kabisa wananchi wote watakuwa nyuma ya serikali isitoshe wamiliki wengi wa vituo vya mafuta ni WATANZANIA WENYE ASILI YA KIASIA (KIESHIA) yes nimesema hivyo na nitasimama hapo niliposema, kama vp ondokeni tu wabakie wazalendo wenye kuwaonea huruma wazalendo wenzao ebooooooooooo!!!1