Vituko vya Rais Kikwete dhidi ya Albino

tumuobe nae aongeze muhula mmja kama wenzake,kagame anafanya mabadiliko ya katiba na Nkurunziza yeye ndio kashalianzisha na sisi tunataka na Rais wetu aongeza walau mitano[5] inatosha
 
Hujui kuwa Rais anayo mamlaka ya kutafuta pesa kwenye vyanzo vyake vingine kwa mamlaka aliyonayo na kufanya jambo lolote.
 
Jk alitakiwa aongezewe mda lakini ni vizuri kuheshimu katiba yetu ili tusipeleke nchi kwenye matatizo.
 
Hujui kuwa Rais anayo mamlaka ya kutafuta pesa kwenye vyanzo vyake vingine kwa mamlaka aliyonayo na kufanya jambo lolote.
Mkuu mbona una lugha ya kujinga na kitoto?
Kwa nini basi wakandarasi hawalipwi zaidi ya Tsh 850bilioni kutokana na ahadi hizo!
Managing the economy is not by mere empty words!
 
We mbugila nini kilichokukwaza tuambie weka hapa nakala za madai tujue....acha uzubeda wewe jk atabaki kiongozi bora kabisa hata tanzania na ukanda wote huu wa cekafa.
 
Jambazi mkubwa wee!!

Unataka siku akilipwa umvamie!!
 
Mkuu mbona una lugha ya kujinga na kitoto?
Kwa nini basi wakandarasi hawalipwi zaidi ya Tsh 850bilioni kutokana na ahadi hizo!
Managing the economy is not by mere empty words!

Ndugu kujenga hoja kubwa kwa Simiyu ni sawa a kumpigia mbuzi gita! Huyu jamaa Simiyu yetu, ni mpuuzi kupita maelezo huku jamvini!
 
Mkuu jaribu kuongea na wazazi wako wanajua umhimu wa jk bila jk wewe hata nguo za kuvaa usingepata jk ndiyo anafanya mnakula nyie uliza uambiwe.

Ni mjinga peke yake, aliyeruhusu akili ndogo kuongoza akili kubwa mwenye mawazo kama haya!!! Hustahili hata kuwa member huku, maana unatia huruma!!
 
Hoja nyingine bwana,mtu kama huna cha kuandika si uache kuliko kujipa ufundi wa kumdhihaki Rais Kuweni na adabu siyo sifa hiyo!
 
President anauwezo na mamlaka kikatiba kutamka lolote na likatekelezwa...over!

Kwa bajeti ipi?? Au unafikiri bajeti ya nchi iko kama nyumbani kwako unavyoweza kuamka asubuhi ukaagiza vitumbua kwa mama soph wakati ulipanga chai ipigwe na kiporo??
 
Back
Top Bottom