Vituko vya Rais Kikwete dhidi ya Albino

Kwani kwenye bajeti hakuna fungu la madawa? si hilo hilo ndiyo atatenga za hao ndugu zetu.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Mjinga wee!!!

Wajukuu wako wanapata dawa hospitali?
 
Naye LOWASA akawaambia MAWAZIRI wengine,

KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr
MWAKYEMBE.Nami naenda mtaani kuwaandalia KIJIWE ili nitakapokuwa nanyi
muwepo.

Nanyi muonapo TUME zaundwa basi mtambue muda wa MAVUNO ya MAFISADI
umekaribia.

Kisha akakwea tena IKULU kuomba Rais ASIMFILISI. Lakini RICHMOND
akatokea na jeshi la MWAKYEMBE na kusema Nitakayembusu huyo ndie....!.

Mara CHENGE akatoa UPANGA ALANI na kumkata mfuasi wa Mwakyembe
(ANNA KILANGO) sikio. LOWASSA akamwambia CHENGE rudisha upanga wako
alani,KIKOMBE nilichotupiwa na Kikwete Sina budi Kukinywa.

Moja kati wa mayahudi wale aitwaye SELELII hakuamini kama LOWASA
KAJIUZURU,akatwaa MKUKI akamchoma UBAVUNI na tazama...Ikatoka GAS ya
SONGOSONGO na NATI ya MITAMBO YA UMEME.

...Siku ya tatu wakaenda pale ofisini kwake.. Lakini wakakuta wingu
la Mvi limetanda na Suti ya mistarimistari pale kitini walipomweka.

..yule morani waliyemkuta getini
akawaambia mnayemtafuta hayupo.....Ameshapaa kwenda MONDULI na yupo
kuume kwa LAIBONI.

..Wakasema..."Hakika huyu alikuwa FISADI.
 
Kama hujui kitu usiwe unakurupuka kuandika maneno ya dharau namna hii, rais anauwezo wa kuongea kituchochote na kikatekelezwa haihusiani na bajeti. Wengi wenu mnashabikia mambo kiudini udini tu.
 
Kama hujui kitu usiwe unakurupuka kuandika maneno ya dharau namna hii, rais anauwezo wa kuongea kituchochote na kikatekelezwa haihusiani na bajeti. Wengi wenu mnashabikia mambo kiudini udini tu.

Pambafu mjinga wee ana uwezo kwa kutumia katiba ipi! Isitoshe mangapi amesema hayajatekelezwa e.g kura ya main I, meli ziwa Nyasa na Victoria, medeni ya waalimu etc!!

Wee wa wapi?!

Halafu udini umeingiaje hapa firauni mkubwa wee!!!
 
Duuuu,watu hawataki tena ngonjera
 
Ni kweli kijana tunatakiwa kuleta hela nchini,watu wa Africa magharibi wamejitahidi kutuma dolar nyingi nchinii mwao km zawadi kuwekeza na mengine mengi tofauti na sisi. Nchi km China, Pakistani, Korea,I ndia etc zinakadiriwa kupeleka hela chini mwao km misaada kwa jamaa na ndugu pekee kwa kiasi ambacho hata nchi za magharibu wamefika mahali pa kuangalia kwa makini. Mara nyingine wanachukulia km inawapunguzia mzigo wa kutoa misaada,na mara nyingi wanona kuwa ni threat ktk uchumi wao.

Statistics za makampuni ya money transfer companiies km Western Union zinaonyesha Hela za kutisha zikielekea Asia na kidogo Africa Magharibi. Hapo ndipo tutakapoona ubunifu wa wezetu ktk hii huduma na baadaye kujikita nchi masikini. Hawa jamaa jamaa wanatoa huduma ya kupeleka hela ila pia wanafanya kazi nzuri ya kuzirudisha. Wamejitahidi kujikita nchi masikini na kujenga faida kubwa ambayo mwishowe inawekwa ktk hard currency na kurudishwa.

Said sasa wewe umeweka wazo tunahitaji wataalamu wa uchumi nao waje na ujanja wa kuzipata hizi hela zilizojificha ktk hii reserve.Hapa panahitaji kuona mbali,si tuvutie hela ambayo mwishowa siku tunakuta tulifanyia tumbo.

Nadhani unaona hapo UK walivyoibana hela, ukipiga kazi hapo unapata hela ila mwisho wa siku unajikuta kila kitu kimeingia ktk sector za kiingereza na ziada ya kazi ngumu ndio unabaki nayo. Angalia unavyokuwa forced kutumia huduma zao na kulipa rents. Kile kiasi ulichoongezea nguvu za ziada ndicho kinabaki. Sasa sisi wabongo hatujaweza wabana wageni tunaowapa kazi za hela nyingi waziache hizo hela hapa waondoke na bidhaa au na starehe watakayoilipia hapa. Na hii ni rahisi kufanya kwa kutumia wachumi wetu.

idea ya informal sector inabid ikuzwe.Hata marekani kwa mra ya kwanza small companies na informal sector imeleta mapato yaliyowatisha.

Kweli mkuu
 
Wakati bajeti ya wizara ya afya imekwisha somwa na kupitishwa bungeni kwa mwaka 2015/16, eti JK atahakikisha vifaa na madawa kwa ajili ya watu wenye albinism yanatengewa fedha na kununuliwa na kwamba vyote vitakuwa bure! Ahadi hii ameitoa leo huko Arusha katika sherehe ya siku ya kimataifa albinism!

Hiki ni kituko kwani waziri wake wa afya hakuzungumzia cho chote kuhusu suala hilo wakati wa bajeti ya afya! Na kama JK atalazimisha kutekelezwa kwa ahadi basi ama bajeti ya wizara itavurugika au itakuwa ahadi mpya ambayo haitatekelezeka hadi anamaliza muda wake October mwaka huu!!

Cha kujiuliza hivi JK hakomi kuahidi ahadi hewa au haoni aibu kwa kutotekelezeka kwa ahadi lukuki alizowaahidi wananchi nchini kote mwaka 2010?!
Mkuu tangia lini JK akaahidi kitu kikatezelezeka?
Mambo yanafanywa kimzaha mzaha na kazi ni kama funika kombe wanaharamu wapite.
Na ahadi zenyewe haziko kwenye bajeti kwa hiyo kwa uhakika aidha zinatekelezwa nusu nusu au hazitejelezwi kabisa.

Huu uswahili wa kuahidi ilimradi kuuza ssura ukome.
Leo kuna madeni lukuki ya wakandarasi kutokana na ahadi hewa, huku nyuma hakuna fungu la kutekeleza ahadi hizo.
 
Naye Jk na CCM yake akawaambia MAWAZIRI wake na wanachama wa CCM

KESHENI mkiomba kwani hamjui siku wala saa atakayokuja Dr
Slaa na UKAWA yake,Nami naenda Ulaya kuwaandalia MAKAZI ya kudumu,ili nitakapokuwa nanyi
muwepo,kwani CHADEMA ikichukua nchi mwaka huu,lazima mafisadi tuhame nchi.

Nanyi muonapo wa-Tz wanaipinga sana CCM na kuisapoti CHADEMA ,huku tume mbalimbali zikiundwa, basi mtambue muda wa wa MATESO kwa MAFISADI
umekaribia.

Wala msitishwe na wingi wa watia nia wenu wa CCM,kwani hata Lowassa mwenye pesa nyingi za KIFiSADI,lakini kamwe hawezi kuwa rais wa nchi hii.

Kisha Lowassa alipoyasikia hayo na kauli za makutano,basiakakwea tena IKULU kumuomba Rais ASIMFILISI,ASIMFUNGE WALA ASIKUBALI LOWASSA AJIUZURU, Lakini kabla ya wananchi hawajamsahau Lowassa na ufisadi wa RICHMOND,EPA,na RADA na ndicho kipindi yule katibu mkuu wa CCM mwizi wa tembo akijiandaa kuanzaa ziara za kuwahadaa wananchi mikoa mbalimbali,
akatokea Kafulila,Mbowe ,Mnyika na Zitto na jeshi lao lote wakaibua ufisadi wa ESCROW,na Kafulila akasema na "Nitakaowabusu hao ndio wezi waliokula pesa za Escrow na kulifisi taifa",basi akiwa bungeni akawataja jaji Werema,Pinda na Chenge nayo kamati ya PAC kupitia Zitto Kabwe ikawataja wengine wengi hata wale waliokuwa wamefichwa na wengine walioiba na kubeba fedha kwenye magunia kule kwenye benki ya Stanbic,bt Ikulu ikawalinda.

Mara AG WEREMA akatoa UPANGA ALANI na kumtishia Kafulila,mfuasi wa UKAWA kutaka kumkata shingo,ndipo PINDA kwa fedheha kubwa akamwambia WEREMA"rudisha upanga wako
alani,KIKOMBE tulichotupiwa na Kikwete hatunabudi Kukinywa.

Moja kati wa mayahudi wale aitwaye Muhongo hakuamini kama Kafulila
anaweza kitikisa serikali,mara TIBAIJUKA akasimama na kusema yeye hakujua kama pesa aliyokula ilikuwa ni ya kifisadi ya Escrow na Rugemalila aliyempa,ati alimpa kama kaka yake kwa ajili ya shule zake za Kajumulo

Basi siku ya3 wezi wakaenda pale ofisini kwa spika na ofisi ya PAC ili waibe nyaraka,lakini wakazikosa.

yule morani waliyemkuta getini
akawaambia mnayemtafuta(document za PAC) hazipo..Kafulila na Zzk wameshapaa nazo kwenda Kigoma na wapo
kuume kwa UKAWA

Basi wanaCCM walipoyaona hayo,kwa masikitiko wakasema"HAKIKA MWAKA HUU LAZIMA CCM ING'OKE NA CHADEMA KUPITIA UKAWA WACHUKUE NCHI"

Hayo mashahiri!!!!
 
tumuobe nae aongeze muhula mmja kama wenzake,kagame anafanya mabadiliko ya katiba na Nkurunziza yeye ndio kashalianzisha na sisi tunataka na Rais wetu aongeza walau mitano[5] inatosha
 
aisee nimecheka hadi basi.
 
Back
Top Bottom