Nanyaro Ephata
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 1,237
- 1,828
JK ni janga la kitaifa
Rais jk ametokwa na machoz wakati akisikiliza wimbo wa masikitiko ya watoto wenye ulemavu wa ngozi(albino) na kueleza kuwa ni upambavu kuamini kuwa viungo vyao vinateta utajiri. Chanzo gazeti la mwananchi. Swali la kujiuliza hapa! Nikua mh! Rais tatizo hili ukuliona awal mpaka wazir mkuu alilia bungen? Na kwa nini mkiwa kama viongoz mnashindwa kuchukua uamuz mgumu? Hapa ndipo mzee wa maamuz magumu anapochukua point! Ikiwa mkuu wa nchi unalia na wazir mkuu analia hv hawa wauwaj wanajesh? Kama mkulu na team yako mnashindwa kuwalinda hawa ndugu zetu wachache hao milion 45 mtaweza?
Mkuu unaambiwa bwana Kikwete ni kanali wa jeshi. Sasa inakuwaje anashindwa kuchukua maamzi magumu? Je kama kamanda mkuu wa nchi yetu atafanya nini kama moja ya mipaka yetu ikivamiwa?
Hapa ndipo naona kuna udhaifu pamoja na usanifu.
Jamani hii! Inasikitisha sana mkuu wa nchi! Analia badala ya kupeleka watu wawa sake wauaji na kisha kuwanyonga hadharan anabak analia mbona wapinzan wanawapiga mabomu? Tena wanawaua na wengine wanaowapinga! Hii mbona itakua ngumu sana kumeza? Kama rais amili jesh mkuu! Mwenye vyombo vyote vya usalama anakosa maamuz