Imani potofu: Kinyesi cha Albino chanunuliwa milioni 7 mkoani Shinyanga

Wildlifer

JF-Expert Member
May 12, 2021
1,883
5,191
Kweli mwanadamu haishiwi ujuha.

BBC imeripoti kuwa kuna watu wananua kinyesi cha watu wenye ulemavu wa ngozi (albino) mkoani Shinyanga.

Akihojiwa Mwenyekiti wa Watu wenye Albinism Mkoani humo, amedai kuwa mteja aliyemfuata, alimpa ofa shilingi Milioni 7 kwa kikopo kimoja.

Haijulikani kinaenda fanyiwa kazi gani.
 
God forbid..
Nyie washirikina Acheni hawa watu wapumzike ni wenzetu pia ni ndugu na jirani zetu don't torture them physically and psychological...
 
Wapuuzi tu hao waabudu ushirikina kupata maendeleo ni ngumu maana akili zao zinawaza ushirikina tu
 
Back
Top Bottom