MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 6,230
- 3,942
Hii inatishaNakumbuka siku nimetoka chooni kujisaidia, kitendo cha kwenda kubadili nguo narud ndoo niliyoitumia kutawazia imejaa uji watu wanajisevia, nilichoka kwa kweli
Hii inatishaNakumbuka siku nimetoka chooni kujisaidia, kitendo cha kwenda kubadili nguo narud ndoo niliyoitumia kutawazia imejaa uji watu wanajisevia, nilichoka kwa kweli
Umesahau katiz mkuu. Yale maandazi makubwa kwa mama Mwitamba pale geti dogo. Unakatakata unachanganya kwenye uji. Nimekumbuka na mbege ya Umbwe. Old's gold.Umbwe secondary uji wa saa 12 asubuhi tulikuwa tunaita ''fongo'' ukiwa hauna sukari tulikuwa tunasema ''fongo chuma''..ukikamatwa unarudia(pepa two) msosi adhabu unadeki jikoni wiki nzima..
Mimi nilikuwa lyamungo sema best yangu Mfinanga alikuwa umbwe dah nilimkuta anataka kupigwa mapanga na washikaji wa lyamungo ilibidi nimwokoe Alisepa peku peku adi townAisee hata mimi kila nikikumbuka ile mtifuano mpaka jamaaa wakavuta yani ulikua ni uadui wakifala sana. Nilikua 'Umbwe
Balaa upelekwe kwa Mr. Mbise a.k.a Culprit au Dudu maji utaita Mmmmma. Sitawasahau wale wasichana wa wanaokaa hostel za kanisa (Umbwe Parish) [emoji23][emoji23][emoji23]Umbwe secondary uji wa saa 12 asubuhi tulikuwa tunaita ''fongo'' ukiwa hauna sukari tulikuwa tunasema ''fongo chuma''..ukikamatwa unarudia(pepa two) msosi adhabu unadeki jikoni wiki nzima..
Balaa upelekwe kwa Mr. Mbise a.k.a Culprit au Dudu maji utaita Mmmmma. Sitawasahau wale wasichana wa wanaokaa hostel za kanisa (Umbwe Parish) [emoji23][emoji23][emoji23]Umbwe secondary uji wa saa 12 asubuhi tulikuwa tunaita ''fongo'' ukiwa hauna sukari tulikuwa tunasema ''fongo chuma''..ukikamatwa unarudia(pepa two) msosi adhabu unadeki jikoni wiki nzima..
Hukumwagiwa... Ulipasuliwa [emoji16][emoji16][emoji16]nilimwagiwa yai takoni wakasahau kuondoa maganda......niliwapa kisago member wa room mpaka sasa wananikumbuka...!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijana wa fuvu RIPKujitumia barua mwenyewe na kisha kwenda kuifungua na kuisoma mbele ya wenzako yenye maelezo demu wa loleza amekupenda sana.IYUNGA TECH,PCM
kuna watu tulikuwa watemi shuleni.....! mambo yakufagia,kuchota maji ya jikoni???? kazi yangu ni kuamka asubuhi maji nishaletewa na form 1, nakwenda kuoga nikimaliza..a paredi siendi...na hamna kiranja yeyote kuniandika....baadae naenda darasani... baada ya paredi.....eiiish...cant remember those days!!!!!Asalam Aleikhum
Katika Maisha ambayo siwezi kuyasahau ni maisha ya Boarding. Maisha ya Boarding noma aliimba Jay Mo, moja kati ya wasanii waasisi wa Bongo Flavor.
Maisha ya Boarding ni moja kati ya maisha matamu lakini pia yenye changamoto nyingi. Kuna matukio na vimbwanga ambavyo vinatia chachandu katika Maisha ya Boarding.
Kuanzia kuingia shule ukiwa form 1 ni burudani tosha. Kwanza tuliitwa majina mengi sana, nyoka, Salamanda, njuka, soksi ya mlinzi n.k
Tulipigishwa simu chooni, tulichapwa mikanda usiku hasa tulipowasnitch watesaji kwa walimu. Aisee tuliooingia form 2 tukawa eti ma MP, na sisi ndio wababe dhidi ya Form 1...hataree.
Maisha ya Boarding bhana, tulikula ada, home walipojua ikawa msala wengine ilibidi kipindi cha kuchukua cheti tutafute hela kwa udi na uvumba ili tukakomboe ada tuliyokula.
Nakumbuka kipindi tunajiandaa kwenda shule baada ya likizo tulikuwa tunanunua mafuta ya kupikia na dagaa na viungo, tunachemsha huo mchanganyiko na tukifika shule duh.. hatari, kijiko kimoja cha mafuta kwa bakuli moja la maharage, waombaji sasa, weeeeengi, nyama ilikuwa mpaka ng'ombe wa shule augue.
Siku ya wali wengine ndio tulikuwa tunaoga hasa wale Tuliosoma maeneo yenye baridi. Kuna wakati tulikula ugali na sukari, sukari ni mboga wakuu sio mnashanga tena tamu kweli. Tukiandikiana barua na masela wetu wa shule nyingine, lazima ndani ya bahasha tuambatanishe punje mbili tatu za wali, watajuaje huwa tunakula wali.
Ukipoteza sahani usiwaze, kwa wali au uji utatumia ndoo unayoogea, kwa ugali utabeba mkononi na maharage utaweka kwenye kikombe chako cha uji.
Kuna wakati tulikuwa tunaenda jikoni kuiba upper layer au top layer pale msosi unapokaribia kuiva. Upper layer ni yale mafuta yanayoelea juu ya maharage, ukichanganya na maharage utamu wake sio wa nchi hii.
Kuoga haikuwa lazima. Boarding wengi ndipo walioojifunza kupiga Punyeto, a.k.a Puli. Nakumbuka kuna siku washikaji waliifanya mashindano nani atatoa wazungu haraka na mshindi alipatikana.
Kwa wapenda soka kulikuwa hamna namna unaweza kukosa Mechi za UEFA au za ligi za usiku. Kutoroka lazima, tukirudi tuna fegi mfukoni tukifika Shuleni tunampa mlinzi inakuwa sio kesi. Ikiwa zamu ya mlinzi mnoko tunatumia mbinu za kijasusi kuingia na kutoka eneo la shule.
Maisha ya boarding tulilima, tulifyeka, tulicheza. Kulikuwa na wasongo na wanafeli, halafu kulikuwa na wasongo na wanafaulu. Kubaki bwenini wakati wenzako wapo class ilikuwa kawaida sana, ila ukikutwa na bwana Pepsi shauri yako, yaani ni msala. Ila sisi wazoefu hatukukamatwa.
Muda wa prep a.k.a prepo hatukwenda class, tulisubiri usiku wa manane mtu atuamshe ndio tukasome hii ilikuwa sana sana wakati wa mitihani, tuliita msuli pepa.
Dah siku ya kuondoka school baada ya mitihani ya kitaifa kuisha ilikuwa very sad day. Wa mbeya walikwenda, wa Dar walikwenda, wa Morogoro walikwenda, wa Dodoma, wa Arusha. Kweli boarding school inakutanisha watu kutoka kila kona ya nchi.
I bet waliosoma day schools hawakupata hii informal education katika shule walizosoma.
Waliosoma maisha boarding tiririka your experience.
Pengine tunafahamiana. Nilikuwa Ihungo. Ukitoka chooni utanuka harufu ya choo kwa masaa kadhaa hivi...Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha kwa tuliosoma kaigo boys vyoo vya tembo kuingia lazima uvue nguo nje ndio uendeHa ha ha, shule niliyosoma kulikuwa na vyoo flani vya nje, kwenda chooni unaacha nguo zote nje, maana ukiingia nazo unatoka na harufu yote ya choo.
Minaki ilikuwa kama kambi ya JKT. Iko porini. Imezungukwa na msitu. Mashamba ya kulima ni nguvu ya shule tu. Majengo yamezeeka sijawahi kuona popote. Maji kuyapata lazima utembee kwenda porini huko kwenye bwawa. Sugar mummy aliyekuwa anafanyakazi benki Kisarawe aliwahi kunipenda nikaogopa. Alikuwa kwenye miaka ishirini na kitu wakati mimi nikiwa teenager.Nakumbuka sana maisha ya boarding pale Minaki High School tuliacha madarasa na mabweni na kwenda kutia msuli forest ambako tulihisi hatusumbuliwi na mtu yeyote yule ila mwisho siku kilieleweka.
Itakuwa milambo secondary tabora vyoo vya umiseta, kuna jamaa alishawahi pata wali wa walimu alivyoona watu wanazidi kumuomba si akakimbilia kwenye hivyo vyoo, kakaa dk nzima hata anatoka, hakuna mtu aliyemgusa, akala wali wake woteHa ha ha, shule niliyosoma kulikuwa na vyoo flani vya nje, kwenda chooni unaacha nguo zote nje, maana ukiingia nazo unatoka na harufu yote ya choo.
Thus why a Bossless may be? Justba joke Kiongozi.Mimi hayo kwangu mageni nimesoma FeZa schools primary hadi advance.hizo mlizopitia hazikuwa shule Bali nahisi zilikuwa selo ndogo .
Af madem wa boading mlikua mnanepa kichz wkt mkiwa shule ambapo mnakula bondo la dona,,hii ilkuwa inanishangaza snaa[emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.