MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,247
Misijasoma secondary
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Poleni sanaa dooh, mie nlikuaga zangu day both o level na high level, alaf shule za serikali za maana tu... nakula vizuri home na nna tia sanaa watoto wa watu mitaani... kumbe nyie mlikua mnaangaika na maisha kiasi iki? Daaah.
We jamaa Kibokokupiga simu chooni, kuvuta mjani, kugonja walimu wa kikeni waliokuwa wakija field, kuuza biskuti, kuvunja makontena ya vilaza, watu tulikuwa na funguo zaid ya 500 hizi ni za kupampu makufuli, wakati tuko shule, tunamiliki shamba bondeni, la nyanya na miwa, kupiga walimu wanoko mida ya prep, kutoroka usiku tunaenda mlima zinaa, kulala ktk mabweni ya wasichana na wasichana kujichanganya ktk mabweni ya masela, kuingia class na vi bom, kupiga simu chooni, disko vumbi, kuwekeana mafta ya taa ktk chakula, kuchambia godoro, kulamba sahani baada ya kula, kupiga passpot size, njuka mnyonge alibanduliwa au kunyonya rungu, kufunga mawe ktk mataulo kisha taa inazimwa dakika tano, muda wa kufunzana adabu, hii kila siku saa tano usiku, kupakana losheni, au kuvunjiwa yai ukilala kisha wanasingiziwa vibwengo, kuuza magodoro ya walioingia darasani wiki dume, godoro linabadilishwa na sahani ya wali maharage, mchaka mchaka saa kumi za usiku kisha mnafuata maji ya kuoga chini ya mlima..na mwisho tukachoma shule moto kisa hawakutupikia wali wiki mbili mfululizo....nilikuwa waziri wa chakula, kampani yangu walijaziwa kuliko maadui zetu, sisi chakula tulikuwa tukiweka katika ndoo ya lita 20 watu watano, tulikuwa wanafunzi 1200 lakini nyama inapikwa kilo kumi na tano tuu, hapo waziri wa msosi nachoma kilo moja na ikiiva najaza kisado, wengine wanakunywa supu...tulibadilishana wali kwa penzi....pamoja na yoote, darasani tulikuwa vizuri....mvua ikinyesha woote tulitoka nje uchi tukioga...kutokana na utukutu niliokuwa nao, pesa ya matumizi nilipewa buku na panadol tu, lakini nikirudi rikizo nilikuwa na zaidi ya laki tatu...
Ni kada wa CCMKuna jamaa lilikuwa jizi la ugali noma sijui sikuhizi liko wapi? Ila wale wenyeviti wetu wa starehe walishakufa wote sijui walipataga laana gani!
Fongo na katiziUmbwe secondary uji wa saa 12 asubuhi tulikuwa tunaita ''fongo'' ukiwa hauna sukari tulikuwa tunasema ''fongo chuma''..ukikamatwa unarudia(pepa two) msosi adhabu unadeki jikoni wiki nzima..
Stamp hata mimi nilifuta sana. Kama shule niliyosoma tatizo kubwa lilikuwa kwenye mlo! Tulikuwa tunaambiwa fungu letu halijaletwa toka Serikalini kwahiyo hatuna haki kula fungu la wengine! Mlo ndo kila kitu.Kufuta stamp kwa sponji iliyolowanishwa kwenye maji yenye sabuni.Ule mchanganyiko wa vitunguu,dagaa na mafuta uliokaangwa na pilipili umenikumbusha mbali,prepo mwisho saa nne usiku,ila nakumbuka wakati wa national exams tulikuwa tunakesha kwenye store moja,Maisha ya boarding kwa kweli ila ilikuwa hapana aisee.Sitaki wanangu wayaishi.Ninatamani siku moja nikatembelee na wanangu shule nilizosoma na niwaonyeshe shamba,viwanja vyenye nyasi tulivyofeka.Maana wao shuleni kwao hizo kazi zinafanywa na wafanyakazi.
ze-dudu.kipindi nasoma Tanga pale muheza kuna jamaa alikua na kawaida ya kubakisha maharage yake ili akitoka prepo aje kula na alikua mnoko balaa wenzie wakimuomba tule wote anawakatalia....
sasa bana siku iyo kuna dogo mmoja aliamua kumfanyizia na ili aweze kutoa aibu ya alichotaka kufanya akaenda kula sana ganja ili apate choo kama mwenyewe alivyosema na kweli alifanikiwa kupata choo sie tupo prepo yeye kaenda bwenini kachukua ile sahani ya dogo yenye maharage akaitia chini ya uvungu wa matako yake akaachia kinyesi cha maana tu.....
kurudi prepo wote tupo bwenini dogo kapanga vitu vyake fresh katulia anavuta sahani yake kula maharage lahaula lakwata anakutana na mzigo wa mavi........itaendelea mechoka kuandika
Uji bila kitafunio, tuliita kupiga mluzi, hii ilitokea sana sana tulipokaribia kufunga shule, hapo mtu umebakiza nauli tuu, Wee acha tuUji wa muda wa breakfast " Sifongo " yaani bila kitafunio , kupiga walimu flash ( kuwamwagia maji machafu wanafunzi na walimu wanoko ) , week 3 bila kuoga , foleni isiyoisha siku za Wali au nyama , kugomea zamu za usafi , kubishana na skauti mwisho wake ilikuwa corporal punishment , kupiga walimu Wanoko muda wa prepo, kugoma kunyoa ndevu / mzuzu, kurudia chakula ,vyoo na mabafu machafu , kukesha kuangalia movies siku za weekend,migomo , misuli chamber dah ! Tosamaganga ilikuwa noma sana
Umekosa mengi mkuuPoleni sanaa dooh, mie nlikuaga zangu day both o level na high level, alaf shule za serikali za maana tu... nakula vizuri home na nna tia sanaa watoto wa watu mitaani... kumbe nyie mlikua mnaangaika na maisha kiasi iki? Daaah.