Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Nakumbuka siku nimetoka chooni kujisaidia, kitendo cha kwenda kubadili nguo narud ndoo niliyoitumia kutawazia imejaa uji watu wanajisevia, nilichoka kwa kweli
 
Nakumbuka siku nimetoka chooni kujisaidia, kitendo cha kwenda kubadili nguo narudi ndoo niliyoitumia kutawazia imejaa uji watu wanajisevia, nilichoka kwa kweli
 
Nakumbuka tulikuwa tunasoma na Mmasai mmoja hivi shule ya sekondari moringe, alikuwa anajifanya mbabe, tukaenda Monduli Mjini tukanunua kufuli aina ya solex moja matata, ile tumepiga mbonji mwenzetu mmoja akachukua kufuli na kulibana kwenye sikio lake, asubuhi bweni zima tukawa wa kwanza kutoka na kumwacha mshikaji akiwa peke yake bwenini, tumekaa kidogo tukaona vumbi tu nje jamaa anakuja mbio huku shingo imekaa upande kwa uzito wa kufuli, kila mmoja akaanza kutafuta upenyo wake maana tukajua damu itamwagika kwa hasira alizokuwa nazo yule Mmasai, basi akashinda na kufuli siku nzima maana hakuna aliyethubutu kusema nani ana funguo wa wa lile kufuli, ile tumepiga mbonji mwenzetu mmoja akachukua funguo akampenyezea kwenye blanketi lake, kufika asubuhi hamadi anakuta funguo, lakini aliyeuweka hakumjua hadi tunamaliza maana angemjua damu ingemwagika kwa hasira alizokuwa nazo yule Mmasai,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka kwasauti kubwa apa ghetto
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Tabora Boys pale 2005
Tulivunja mlango wa Canteen saa nane usiku tukaiba Jaba la Maandazi tukaenda kulificha kwenye mlima karibu na Tabora Girls.
Tulikua watano.

Aisee, week nzima ikawa sherehe.
Mida ya uji ikikaribia kila mtu anaenda Mlimani anajisevia maandazi ya kutosha anarudi anapiga na pola. Safiiiiii...
 
Haha yule mjinga alipigika sana siku ile aisee....kipigo cha mbwa mwizi...
Mi nauhakika kama yule mjinga angepona kipigo kile siku ile hakika asingekufa bali angeishi milele!
Wengine wa umbwe walipata vilema vya maisha kaka bifu la hatari sana
 
Nimesoma boarding, kuoga ni bafu kubwa lenye mabomba ya mvua! Hivyo kabla ya kuanza kuoga unakuta tuko kama 15-20 bafuni, uchi wa mnyama tunashindana kupiga nyetto nani anawahi zaidi na nani shahawa zake zinaruka mbali zaidi.
Nikikumbuka, nacheka sana!
 
Baadaye yakaja maisha ya JKT, japo ulikuwa mwaka mmoja kakini ilikuwa shughuli
 
Lyamungo high school ...kuna canal moja imepita apo school ni mwendo wa kubatizanaa tuu. Form one na five walikua wanaamshwa SAA 9 usikuu wanaogeshwa kwenye ioo canal...
Kuna jamaa alikuwa anaitwa radislaux alikuwa mbabe sana alikuja kufatwa na polisi wa boma alifungwa pingu na kusepa nae alikuwa na wenzie kazaa dah hatri sana kwenda kombo kula mbege ndizi na mataka taka mengine
 
Nakumbuka nikitoka darasani nabadilisha shati tu..suruali hiyohiyo...dining naenda na kijiko tu..tunachanganya maharage na ugali tunaponda tunakula wote kila mtu na kijiko chake..

Nakumbuka tushajifunga sana kanga kwenda kwenye mabweni ya mademu usiku kimyakikya..sema matroni alikua mbibi..haoni vizuri! Siku ya kufungua shule tunakaa gesti kama wiki hivi ndio tunaripoti..
 
Back
Top Bottom