Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Siku moja nilkiwa nimekunywa uji vikombe vyakutosha alafu usiku nilkuwa nimekesha kama popo huku nikipiga msuli.... ilivyofika kama mida ya saa 5 baada ya uji... usingizi ukanikamata darasani... nikaamua kwenda domitory kuoga, kufika nikakuta bafu chafu karibu zote alafu maji yametuama.. nikaamua kwenda nyuma ya domitory kuoga maana shule nzima ni boys tu pia hata walimu wote n boys tu
Headmaster pamoja na wageni kutoka wilayani walikiwa wanakagua majengo ya shule kwa kuzunguka shule nzima... wakanikuta nimavua nguo zooote + sabuni usoni naoga.... jamaa alimi kalili kisha baada ya siku nilikutana nae kwenye korido ananinasa akanipiga viganja vya ukweli pia akataka nikalete mzazi... nikaomba msamaaa akaniongeza fimbo 4 + kuzoa takataka na kuzichoma