thA goD
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 1,943
- 1,857
Hii ya MZ hiiKukatwa mkia tarehe 9/9 saa tisa na dakika tisa sekunde ya tisa noumaaaaa
Hii ya MZ hiiKukatwa mkia tarehe 9/9 saa tisa na dakika tisa sekunde ya tisa noumaaaaa
ahahahahahaha ahahaha ahaha nimecheka sana alivyotingisha trankaNilikutana na mchizi wangu baraka anapenda kuangalia video si mchezo, ikawa ni kutoroka kila night hakuna cha prepo wala nini tunazama kibanda umiza.
cheki movie mpaka ngoma 6 inawekwa pilau aseeh, siku moja ma njagu wakatuotea kibanda umiza tunacheki pilau wakatudaka watu kama 8.
hapo tukilala kituoni ni msala skuli, kufukuzwa nje nje ilibidi tuwaambie ukweli sie wanafunzi tuwape mkwanja flani watuachie wakakubali ikawa pona pona yetu.
Matukio ni mengi sana, niliweka wali kwenye tranka mjinga flani akalitingisha juu chini chini juu daaa! nguo zilitapakaa wali si kidogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kupiga simu chooni, kuvuta mjani, kugonja walimu wa kikeni waliokuwa wakija field, kuuza biskuti, kuvunja makontena ya vilaza, watu tulikuwa na funguo zaid ya 500 hizi ni za kupampu makufuli, wakati tuko shule, tunamiliki shamba bondeni, la nyanya na miwa, kupiga walimu wanoko mida ya prep, kutoroka usiku tunaenda mlima zinaa, kulala ktk mabweni ya wasichana na wasichana kujichanganya ktk mabweni ya masela, kuingia class na vi bom, kupiga simu chooni, disko vumbi, kuwekeana mafta ya taa ktk chakula, kuchambia godoro, kulamba sahani baada ya kula, kupiga passpot size, njuka mnyonge alibanduliwa au kunyonya rungu, kufunga mawe ktk mataulo kisha taa inazimwa dakika tano, muda wa kufunzana adabu, hii kila siku saa tano usiku, kupakana losheni, au kuvunjiwa yai ukilala kisha wanasingiziwa vibwengo, kuuza magodoro ya walioingia darasani wiki dume, godoro linabadilishwa na sahani ya wali maharage, mchaka mchaka saa kumi za usiku kisha mnafuata maji ya kuoga chini ya mlima..na mwisho tukachoma shule moto kisa hawakutupikia wali wiki mbili mfululizo....nilikuwa waziri wa chakula, kampani yangu walijaziwa kuliko maadui zetu, sisi chakula tulikuwa tukiweka katika ndoo ya lita 20 watu watano, tulikuwa wanafunzi 1200 lakini nyama inapikwa kilo kumi na tano tuu, hapo waziri wa msosi nachoma kilo moja na ikiiva najaza kisado, wengine wanakunywa supu...tulibadilishana wali kwa penzi....pamoja na yoote, darasani tulikuwa vizuri....mvua ikinyesha woote tulitoka nje uchi tukioga...kutokana na utukutu niliokuwa nao, pesa ya matumizi nilipewa buku na panadol tu, lakini nikirudi rikizo nilikuwa na zaidi ya laki tatu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hukuwah kwenda kisarawe kuchek mpira ucku?Nakumbuka sana maisha ya boarding pale Minaki High School tuliacha madarasa na mabweni na kwenda kutia msuli forest ambako tulihisi hatusumbuliwi na mtu yeyote yule ila mwisho siku kilieleweka.
====Boarding school(boys) ya advance ndio imenifundisha puny....E t 0...
Kuna kipindi tulikuwa tunaweka mashindano kabisa ya kurusha sperm kwa umbali mrefu mshindi anapata hela ya maandazi ili asipulize(asinywe uji mkavu) dah yale maisha ya kijinga sana sasa sijui kwann tulikuwa tunafanya vile
===Mtwara Tech, Makwalu, hahahaaaa. Precious Memories
===Haaaa kwahiyo ulikuwa unabip kufa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Sikumoja ilifanyika especion ya nguvu lengo kutafuta simu uzuri kulikua na walim wetu vijana hua wanatutonya, istoshe mimi ndo nilikua fundi simu ilibidi nikafukie vifaa vyote shimoni kusubir hali itulie.
Na ma~spay nao hawakua nyuma
Hahaha.....duuh kweli maisha yamekwenda Kasi sana,nikipata nafasi nitakwenda mbeya angalau kusalimia.Now uzio kila kona...
Pale mashineni pamewekwa uzio na gate dogo.... Na uongozi WA sasa hatari.....
yule bwana ni mpuuzi sana alijua kasha tingisha tranka hakuna wali tena mule basi mie mchana nikakataa ugali nikijua nitaenda kula wali mida.ahahahahahaha ahahaha ahaha nimecheka sna alivyotingisha tranka
Hahahahaaah khakha ,kwahiyo mkuu wewe kilicho kuuma ni hayo maganda ya yai kuachwa matakoni ? Lakini kitendo cha kumwagiwa yai takoni fresh tu huja mind ?nilimwagiwa yai takoni wakasahau kuondoa maganda......niliwapa kisago member wa room mpaka sasa wananikumbuka...!!!
Mkuu rungwe boys mwaka gani hyo!!?Unakula domwork na uji asubuhi kama huna hela ya kununua andazi (domwork ni ugali maharage/kande za Jana ake)!
Wale wenzangu wa kutumia simu tulikua na lugha yetu vocha tunaiita maunjanja so unauliza mwenye maunjanja aniuzie au ukienda duka la shule unamwambia muuzaji nipe maunjanja ya jero anakua ashaelewa! Sitasahau siku teacher kaja kutuamsha week end tuende prepo wakati week end ilikua free acha mwalimu achezeee!! Nmepamisi Rungwe boys
HahahaaKuna jamaa alikua na ki nokia tochi wenzie wana smartphone bwenini,sas watu wny smart full kupg miziki,jamaa akaona sio tabu akawa anapiga miziki ile ya nokia torch ,