Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Aisee kweli we muhenga
Ukweli Boarding lazima uikumbuke tu hataiweje, Miaka ya 87 jamaa yangu yeye hali ilivyokua ngumu siunajua nyama haionekani mpa siku maalumu?nakumbuka ilikua weekend alisikia mbuzi wanalia maeneo ya shamba la shule,,hakuaga mtu akaanza kunyata tariiitiiiibuuu hamadi mbuzi,akajitahidi akamkamata mmoja akafikiria sasa mbona mzimamzima hii itakua soo,mbuzi akaanza kupiga kalele mmmmeeeeeee akasema sasahiibalaaa akamziba mdomo aaaaa wapi mvuzi anaendeleaa tu,ikamjia akili yaharka alifikiria kumchinja,akaona hapana siaka mkata paja moja la kulia kisha akamuachia,akalificha juu yamti kisha akarudi bwenini,akatusitua oyaa chukuen chumvi mnifuate(huwezi amini tumefika akashusha mzigo ukachomwa fasta ukapigwa kimya kimya)ukweli mbaya sanaaaa
 
1. Nakumbuka Mtwara Tech nilijifanya nimejinyonga nje ya bweni la mwongozo. Mwalimu wa zamu hokororo alipokuja na wanafunzi wamechanganyikiwa nikaachia kamba nikatoka nduki,, jamaa kanifukuza hadi nikavuka fensi ya katani akatukana tusi baya sana "....
 
Hahahaaaa umenikumbusha hokororo, mi hadi mabweni nimeyasahau majina jamani. Nilisoma form one tu, the rest of my secondary education nimepata ifunda
1. Nakumbuka Mtwara Tech nilijifanya nimejinyonga nje ya bweni la mwongozo. Mwalimu wa zamu hokororo alipokuja na wanafunzi wamechanganyikiwa nikaachia kamba nikatoka nduki,, jamaa kanifukuza hadi nikavuka fensi ya katani akatukana tusi baya sana "....
 
Hehehehehe huu uzi ni bora sana... nimecheka sana jioni yangu imekua nzuri sana. Watoto wa day vidudu mpaka six tumekosa adventure
 
1. Nakumbuka Mtwara Tech nilijifanya nimejinyonga nje ya bweni la mwongozo. Mwalimu wa zamu hokororo alipokuja na wanafunzi wamechanganyikiwa nikaachia kamba nikatoka nduki,, jamaa kanifukuza hadi nikavuka fensi ya katani akatukana tusi baya sana "....
Haaaa kwahiyo ulikuwa unabip kufa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Ukweli Boarding lazima uikumbuke tu hataiweje, Miaka ya 87 jamaa yangu yeye hali ilivyokua ngumu siunajua nyama haionekani mpa siku maalumu?nakumbuka ilikua weekend alisikia mbuzi wanalia maeneo ya shamba la shule,,hakuaga mtu akaanza kunyata tariiitiiiibuuu hamadi mbuzi,akajitahidi akamkamata mmoja akafikiria sasa mbona mzimamzima hii itakua soo,mbuzi akaanza kupiga kalele mmmmeeeeeee akasema sasahiibalaaa akamziba mdomo aaaaa wapi mvuzi anaendeleaa tu,ikamjia akili yaharka alifikiria kumchinja,akaona hapana siaka mkata paja moja la kulia kisha akamuachia,akalificha juu yamti kisha akarudi bwenini,akatusitua oyaa chukuen chumvi mnifuate(huwezi amini tumefika akashusha mzigo ukachomwa fasta ukapigwa kimya kimya)ukweli mbaya sanaaaa
Heee sasa kibla sijui ilifanyikia wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sikumoja ilifanyika especion ya nguvu lengo kutafuta simu uzuri kulikua na walim wetu vijana hua wanatutonya, istoshe mimi ndo nilikua fundi simu ilibidi nikafukie vifaa vyote shimoni kusubir hali itulie.
Na ma~spay nao hawakua nyuma
 
Boarding hatareee....! kukuru kakara za hapa na pale kibao. Watu full kutoroka vijijini kuangalia video, kucheza disco, waliokuwa na hamu ya kinywaji twende, kuangalia mpira twende ilimradi tu Mwanafunzi asumbue Walimu wake. wizi wa hapa na pale kukosa msosi, mambo mengi kweli sitaki kuyasahau Mapito yangu aiseeh.
 
Ha ha ha, shule niliyosoma kulikuwa na vyoo flani vya nje, kwenda chooni unaacha nguo zote nje, maana ukiingia nazo unatoka na harufu yote ya choo.
Na shule niliyosoma mimi O-level, ilikuwa na vyoo vya nje ambavyo vilijengwa zamani sana vilikuwa vimeunganishwa halafu vikagawanywa matundu 8, vikapatikana vyoo 8.

Tuliviita milango 8, kutokana na kuwa na matundu 8.

Kutokana na uchakafu na kujaa mavi vilianza kunuka sana kiasi kwamba ukienda kujisaidia lazima ubebe harufu ya kufa mtu ukitoka.

Wakati nimeripoti form one, jioni yake niko nje ya bweni nililopangiwa nikawa naona majaa yanaenda kwenye sehemu yenye vyoo(vilikuwa karibu na bweni letu) na wakifika pale wanavua nguo zote na kubaki na boxer halafu wanazitundika kwenye miti nje. Nikamuuliza jamaa ambaye alinikaribisha pale room, mbona wanavua nguo. Akasema dogo kule panaitwa Mipango 8, ukifika lazima uvue nguo kabla hujajisaidia maana usipofanya hivyo utanuka vibaya mno
 
hehehe huu uzi ni hatwarii...watu mlikuwa mmepinda asee
olevel
- kulala bwenini wakati wa vipindi hasa baada ya muda wa break
-Me na team yangu ilikuwa mwiko kusikiliza mwalimu au kuingia kipindi cha hesabu hasa baada ya kuingia form 2 eti kisa tulikuwa hatumpendi matron ambaye ndo alikuwa mwalim wa hesabu. basi akiingia tunatoka au kama hatutatoka basi tunalala fofofo.
- kumpiga form one kidogo nifukuzwee

alevel
-kutoroka kwenda disco pub alberto halafu kaka boni tunamhonga buku
-kuiba nyama kwenye sahani za watu siku ya wali nyama
-kwenda changbay kununua chips kuku kila siku jion (hata kama hakuna hela basi tutaenda tu hata tupoteze muda na kuwachokoza waalim na viranja) na hakuna wa kututaja
-kutoroka kwenda arusha jumapili na na siku ya shopping
-kudanganya michango ya uongo kwa mzazi ili tu nisile ugali maharagwe
-siku ya mwisho kabisa nikamuuzia dada teddy godoro langu zuriiiii baba alininunulia saba saba kwa elfu 15, kufika home godoro liko wapi nkasema waliiba
 
Mi nakumbuka wakati nareport pale school advance mama alinisindikiza Yale mapokezi ya wanafunz wa pale akawa ametembeza mkwanja kwa W anafunzi wanafunz kuona vile wakajua mi wa kishua kumbe mbwembwe nikawa nimepata crew ya masela hadi nikawa maarufu na shule nyingine kutokana na usocial wangu niliendesha kampeni na movement nying zilizozaa matunda
 
Team iyunga na loleza now days inakaribia bond kufa
Tatizo nini mkuu,manake kitambo sana sijapita kule.
Kama kawaida najua wadau watakuwa wanaibukia pande za Lumbira tu kama ndio hivyo
 
Tatizo nini mkuu,manake kitambo sana sijapita kule.
Kama kawaida najua wadau watakuwa wanaibukia pande za Lumbira tu kama ndio hivyo
Now uzio kila kona...
Pale mashineni pamewekwa uzio na gate dogo.... Na uongozi WA sasa hatari.....
 
Nakumbuka Mzumbe sec,nikiwa kama DH committee (kamati ya bwalo) mzee pale skonga kila j2 ni pilau nyama mpaka leo hii,sasa mimi na wanakamati wenzangu ilikuwa lazima tuwahi bwaloni kutengeneza nyama choma,mpishi mkuu alitudekeza sana sitamsahau yule mzee,sasa kimbembe ilikuwa nikirudi Dom,mzee hupewi pumzi ni madongo hadi unajikuta unashiba mwenyew,
Utaitwa majina ya kifisadi mpaka msosi unakukinai.

Machalii ya MZ mnaboa mjue?.
 
Back
Top Bottom