Popote ulipo lipa hela za marehemu
Kienyeji hiyoMlimbwende huyo kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la "Kienyeji Promax" amewaacha watu midomo wazi baada ya kuposti picha hizo akiwa kwenye muonekano wa Kistaa zaidi tofauti na anavyoonekana kwenye video zake zinazotamba huko Tiktok akiwa Kienyeji zaidi.
Sura ya babuView attachment 2622975View attachment 2622977View attachment 2622979
😂😂😂 da itakuwaje sasa
Kataa ndoa tujiinue tafadhali
🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮🤮 Aaah we hapana aisee nitake radhi mkuuuu yangu ni haya 👇👇👇👇👇👇👇👇
kalifunue uone 😂🤢🤢🤢🤢🤢🤢🤮🤮🤮🤮🤮🤮 Aaah we hapana aisee nitake radhi mkuuuu yangu ni haya 👇👇👇👇👇👇👇👇View attachment 2623159