Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1683961993731.png
 
Daaah aseeee 😍😍😍😍😍 eti mkuu Shimba ya Buyenze unawezaje kumtag mtu kupitia jina la utani kama ulivyonitag mimi hapo juuu mkuu 🤔

1. Fanya tag ya kawaida mf. ye34nbe
2. Post reply
3. Edit hiyo post
4. Rudi sasa kwenye jina la mtu uliyemtag na badilisha uandike kitu unachotaka mf. Mimi hapo niliandika SBBW baada ya kufuta ye34nbe
5. Save...kwisha kazi...

Jaribu ulete mrejesho 😁😁

Screenshot_20230510_152711_Instagram Lite.jpg
 
1. Fanya tag ya kawaida mf. ye34nbe
2. Post reply
3. Edit hiyo post
4. Rudi sasa kwenye jina la mtu uliyemtag na badilisha uandike kitu unachotaka mf. Mimi hapo niliandika SBBW baada ya kufuta ye34be
5. Save...kwisha kazi...

Jaribu ulete mrejesho 😁😁

View attachment 2622663
Ewaaa 😆😆😆😆 asante mkuuu 😬😬😬😬☺️🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom