mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,933
niondolee hii mkuu nakula nitatapika!!Litakuwa hivi mkuuu
View attachment 2623164
niondolee hii mkuu nakula nitatapika!!Litakuwa hivi mkuuu
View attachment 2623164
Watu wa hovyo sana aisee...
sijui mtu anawaza nini mpaka anaandika vitu vya namna hiyo....Watu wa hovyo sana aisee...
Inasikitisha!
Angalia utalimwa ban au kukatazwa kuingia kwenye uzi huu.Litakuwa hivi mkuuu
View attachment 2623164
Daaaah, aseee kumbe aliwahi kufungwaAngalia utalimwa ban au kukatazwa kuingia kwenye uzi huu.
Huyu mama aliua kichanga chake sababu ya mental issues. Alitumikia kifungo cha miaka mitatu nadhani akaachiwa...Alichukuliwa na kampuni moja akawa polished aisee alipendeza sana.....
Kienyeji kweri kweri mkuu😁
Kula chuma hicho hakijachakachuliwa hata kidogo natural 💯 😅Kienyeji kweri kweri mkuu😁
Hakika mkuu, hapo unakutana na kitu nta kabisa😁Kula chuma hicho hakijachakachuliwa hata kidogo natural 💯 😅
Siyo Mnaija...Daaaah, aseee kumbe aliwahi kufungwa
Na ni mnaija huyu mkuu, we ulimjuaje mkuuu
Oh sawasawa, duuh porn industry aseeSiyo Mnaija...
Ni Black American pyua kutoka jijini Los Angeles. Wanaija watakuwa wamejimilikisha tu. She is a US (B class) porn star!
Unachukua mbuzi unakwenda naye. Unarudi unachukua majani unakwenda nayo. Unarudi na mbuzi. Unamuacha mbuzi unamchukua chui. Unamuacha chui na majani halafu unamrudia mbuzi. Kazi kwisha! 👏👏👏👏View attachment 2622851
Wangapi waliteseka kutegua huu mtego wakiwa primary?
Unatakiwa uvushe mbuzi, chui na majani kwenda ng'ambo ya mto. Mtumbwi unaweza kubeba wewe na kimoja kati ya hivyo kwa mara moja....
Kifaranga hakijambo 😚😚🙃Asante kwa salamu yako 😍😍
Asante... Namshukuru Mungu Nimetoka salama 🙏🙏 Nimepata Baby Girl 😍😍😍 ..Mama Kijacho kapotea kwa siku hizi chache. Si ajabu yuko leba. Kama ni hivyo Mungu na Amsimamie. Vinginevyo arudi hapa haraka!
View attachment 2620959
Yuko poaa 😍Kifaranga hakijambo 😚😚🙃