Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_0615.jpg
 
Si angeanzia mwezini kwanza au hapa tu lower orbit kwenye satellites? Sasa kwenye Mars kwenda tu miezi saba duh! Au ana teknolojia mpya ya propulsion itakayopunguza muda wa safari?

View attachment 2618547
Nadhani itakuwa ana njia nyingine ya kupunguza muda

Anyway ni 2025 hapo wacha tujionee mambo 😁😁😁😁
 
HII NI KASWENDE SUGU
Ukichelewa kutibiwa Kaswende inaweza kukufanya ukawa kama kuku kishingo inakula nywele.
Dalili ya kwanza kabisa ya Kaswende ni kidonda ambacho huwa hakina maumivu, kinaweza kuwa sehemu yoyote kwenye mwili kuanzia sehemu za siri, kwenye ulimi au kwenye vidole.View attachment 2618485View attachment 2618486
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.


Daaah aseee
 
Back
Top Bottom