Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Utumie infinix ufeeeeeNimeuza 😁
Sahivi nna infinix hot 10
Utumie infinix ufeeeeeNimeuza 😁
Sahivi nna infinix hot 10
sitaki kufaaa 😂😂
View attachment 2617540
😂😂 nimeelekezwaUtumie infinix ufeeeee
tusifikirie sana tutakosa kuenjoy haya maisha mafupi 😂Ilikuwa ni lazima tufe?
Yote haya kisa tu boya mmoja alikula tunda alilokatazwa?
Was the arrow of time supposed to move forward? Why does everything have to undergo entropy?
Mungu ni mkubwa 🙏🏿🙏🏿🙏🏿
kwahiyo kuselfika vile vi-dimples ndo bas tena😔😂😂 nimeelekezwa
Sahivi nimezoea. Naitumia tu kawaida
Kwani infinix yangu haina camerakwahiyo kuselfika vile vi-dimples ndo bas tena😔
ina nguvu kama ya iphone??Kwani infinix yangu haina camera
😂 ina ukunguu kama woteina nguvu kama ya iphone??
jikaze😂😂 ina ukunguu kama wote