YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, chamdeko ubarikiwe π€π€π€π€π€π€Yuko poaa π
Ukasalimie mwambie ankoli anakusalimu, πππππ
Hongera kwa kuleta kiumbe duniani, chamdeko ubarikiwe π€π€π€π€π€π€Yuko poaa π
Dah ukiwa offline siku moja tu ukirudi mengi yamebadilika .....Wanasema kuna Korona mpya iliyoboreshwa ipo mjini. Wenye shida za kiafya na wazee tuchukue tahadhari. RIP Le Mutuz
View attachment 2621258
Wanakuwaga watamu sana hawaMlimbwende huyo kutoka nchini Kenya anayefahamika kwa jina la "Kienyeji Promax" amewaacha watu midomo wazi baada ya kuposti picha hizo akiwa kwenye muonekano wa Kistaa zaidi tofauti na anavyoonekana kwenye video zake zinazotamba huko Tiktok akiwa Kienyeji zaidi.
Sura ya babuView attachment 2622975View attachment 2622977View attachment 2622979