YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,154
- 36,361
Eti mwanangu wanamsingizia newton wa watu eti alikuwa mboga wakati yy alikuwa anafikiria tu kutafiti physics na kusoma biblia basiNyinyi watu mna matatizo. Kuna siku mtakuja kupata medical
Papuchi itabaki kuwa papuchi tu haina mpinzani hapa duniani....
Wakati alipomuoa cousin wake alikuwa na mchepuko pia. Barua zake za mapenzi kwa huo mchepuko nadhani ndiyo zimekuwa declassified sasa hivi...
Isaac Newton ndiyo wanasema hakuwahi kudeti na mwanamke mpaka wanamsingizia kwamba pengine alikuwa si ridhiki....
Yaani huyu Mungu kweli kaumba baadhi ya watu ili tu watekeleze adhma flani duniani
Mchizi alishawahi kupiga hadi siku 5 bila kulala,, kisa ma research yake,,, kula anasahau yaani
He was built different aseee ile plague yao inayofananishwa na kizazi chetu (corona)
Ndo alitumia kuandika ma principia na kututesa nayo japo yameijenga dunia sana

