Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,384
Wafa kiume fc??Huwezi kufananisha Simba na wahuni Man U utukome 😀
Bora sie tunaokufa kiumeWafa kiume fc??
si bora sie tuna kombe 1🤣
Bado na kale kawimbo ka yuefa wataanza kukaskia kama singeli za bongo😀
Kidogo tu broo 😁😁😁 ila shem mzuri bana kongole bro😀😀
Vijana mnamambo Sana.
Mkiachana mje mtupigie kelele humu🏃🏃
Hahaa mpira una matokeo ya kikatili sana.Bado na kale kawimbo ka yuefa wataanza kukaskia kama singeli za bongo😀
Ila mpira una ukatili sana🙌🏾
Simba guvu 1💪
Kidogo tu broo 😁😁😁 ila shem mzuri bana kongole bro
Ww ni Mtumishi wa Bwana89 kweli au ni magumashi 😁😁😁😁
Nakubali mkuuu kongole kwa chombo cha kienyeji lkn,,,,, nakuonea wivu lkn 😜😜Muda ni mchache Mkuu.
Usipoishi sasa hutoishi tena